Watu wengine sijui IQ zao zikoje. Hakuna mahali popote iwe kwa maneno au vitendo CDM wameonesha kwamba lengo lao ni kuiangusha serikali tena ikitokea wakifanya hivyo (au mtu mwingine yeyote) akamatwe mara moja na kushitakiwa. Serikali iliyopo madarakani ipo kihalali tena kwa mujibu wa katiba na hata CDM kupitia mwenyekiti wao wamekiri hivyo mara kadhaa tena Bungeni. Sasa sijui huyu "Dr." Mrema anataka kuleta stori gani. Kama uwezo wa baadhi ya ma-Dr. wetu kupambanua mambo ndio umeishia hapo, kweli tuko hatarini.
we bado virgin kwenye forum..uko stuck kwenye STUPIDITY. chadema walisema hawamtambui Raisi, mara wanamtambua...vigegeu wakubwa hawana msimam..bungeni hawaongei wanakimbia..wanataka sympathy za watu kama egypt, tunisia...tanzanians dont give a dammn...chadema ni chama cha mbowe na slaa.....zito nae anataka shares......wataanza kugombea ruzuku wao pamoja na ndesamburo