Juaangavu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2009
- 935
- 132
Dr Mrema, vipi! Kumbe maandamano ya CDM ni ya kuindoa serikali madarakani, na ninyi mloko serikalini mnaona hawa CDM hawajajiandaa kuweka viongozi watakaoiendesha hiyo serikali.
Duh! Chonde chonde serikali itimize wajibu wake wa kuwatumikia wananchi na siyo mafisadi, Dr unaonaje hilo! Fikisha hizo salam za watz
Duh! Chonde chonde serikali itimize wajibu wake wa kuwatumikia wananchi na siyo mafisadi, Dr unaonaje hilo! Fikisha hizo salam za watz