Mrema: Nitagombea tena Ubunge

Mrema: Nitagombea tena Ubunge

Anavyotetemeka ..hawezi hata tena kuwapiga madongo watu kuwa mkewe ndie anajua km kazeeka.
 
CCM naskia wameandaa mtu maalum kurudisha maendeleo ya katika Jimbo hilo.
 
mwache agombee misukule wenzake watamchagua!!

leo imekuaje Mkuu unamwita kibaraka wenu Msukule au mshamuona hana tija tena?2010 si alimpigia kampeni jimboni kwake Mzee wa Msoga badala ya Mgombea wa Chama chake.
 
Huyu Mzee apewe tuu Mafao yake atulie,maana huko anapoelekea siko kabisa.
 
Kumbe ndio sababu katangaza kugawana mshahara wake na vijana anaowaita "wajasiria mali!"
Anaihalalisha rushwa kiujanja! Ngoja wamtafunie mkwanja aje apatwe na kiharusi cha kihoro!
 
Anajua kuwa anacho chama chake kinachombeba wakati wa kampeni na kazi yake ni kukisifia kwa hali na mali hivyo hana shaka na ubunge.
 
Akumbuke yaliyompata Mramba 2010, wananchi walimstaafisha kwa lazima nadhani na yeye watamfanyia hivyohivyo kama asipokubali matokeo
 
Atagombea kwa TLP au CCM? CDM, nafikiri katika yote hilo ni jimbo la kwanza jepesi, la pili ni Arumeru Magharibi kwa Medeye, la tatu ...
 
Atagombea kwa TLP au CCM? CDM, nafikiri katika yote hilo ni jimbo la kwanza jepesi, la pili ni Arumeru Magharibi kwa Medeye, la tatu ...


Hao wote walipeleka vijana akawagaragaza, 2015 bado ana nafasi ya kushinda. Mrema anakubalika sana Vunjo hasa kwa akina mama.
 
Mrema akichangia bungeni leo katangaza kuwa atagombea tena ubunge.Kwa mbwembwe kubwa sana.
kama anataka kupoteza alichopata kwa wakati huu ajaribu kugombea tena aone maana safari hii Chadema itamsimamisha mgombea wa Nguvu. akibishana na mawazo yangu atakuwa sikio la kufa
 
Viongozi wa bongo cwaelewagi kabisa.hawataki hata kuvaa kiatu kimoja tu cha mzee madiba kuachia wengine waendelee?wanavunjo kazi kwenu
 
Mrema akichangia bungeni leo katangaza kuwa atagombea tena ubunge.Kwa mbwembwe kubwa sana.

Mrema alishinda Vunjo kwakuwa vijana ambao kimsingi ndiyo wapiga kura walinyimwa fursa ya kupiga kura, awamu hii daftari likiboreshwa lazima CHADEMA wakamate jimbo lao
 
Wazee ambao hawatarudi, Mrema na Cheyo wamechoka jamani. eheee, kwani kwao hakuna nguvu mpya?
 
Tujikumbushe historia

1995-2000; Mbatia (NCCR)
2000-2005; Makundi (TLP)
2005-2010: Kimaro (CCM)
2010-2015 :Mrema (TLP)
2015-2010 : ????

Wana Vunjo hawakupi vipindi viwili. Ni kimoja tu!!!
 
Back
Top Bottom