Mrema: Nawashangaa polisi kutowaweka ndani wapinzani!

Ni kweli OLD is GOLD lakini sasa ifike tumuache Mzee Mrema apumzike.Radio na TV Stations muacheni mzee asije akazungumza yasiyo zungumzika...UMRI nao umekwenda....
 
Eti huyu mrema ndiyo tulitaka kumpa uraisi 1995, ingekuwa kichekesho, ndiyo maana nyerere alisema namnukuu "siwezi kumwachia mbwa nchi yangu" mwisho wa kunukuu
Na Mimi nilishanga mwaka 2015 eti tulitaka kumpa urais Fisadi Lowasa,yani ingekuwa kichekesho
 
Back
Top Bottom