Mrema: Nawashangaa polisi kutowaweka ndani wapinzani!

Eti huyu mrema ndiyo tulitaka kumpa uraisi 1995, ingekuwa kichekesho, ndiyo maana nyerere alisema namnukuu "siwezi kumwachia mbwa nchi yangu" mwisho wa kunukuu
Mkuu leo najiona nilikuwa mjinga sana kumuunga mkono huyu mzee kipindi kile cha 1995,Mungu nisamehe kwa kumpigia kula huyo
 
Kumbe huyu bwana yupo bado? Muoneeni huruma tu, anaimba wimbo wa watawala kwasasa!
 
Kumbe huyu bwana yupo bado? Muoneeni huruma tu, anaimba wimbo wa watawala kwasasa!
mrema+2.jpg
Bado yupo...anaendelea kuuchapa usingizi na kama kawaida yake anaota. Kwa kweli ni wa kusamehewa...akiamka atakuwa hakumbuki kasema nini ndotoni.
 
Eti huyu mrema ndiyo tulitaka kumpa uraisi 1995, ingekuwa kichekesho, ndiyo maana nyerere alisema namnukuu "siwezi kumwachia mbwa nchi yangu" mwisho wa kunukuu
Umepotosha. Nyerere hakusema hivyo, Nyerere alisema, nanukuu. " I can' t let my country go to the dogs". Labda useme unatafsiri aliyosema Nyerere lakini sio kunukuu. Hata hivyo tafsiri yk ni ya kibadhite
 
samahani mkuu sikubahatika kusoma english. naomba tafsiri
 
samahani mkuu sikubahatika kusoma english. naomba tafsiri
Hiyo ni methali kwa kizungu. Kwa kawaida mbwa lazima atakuwa na bwana anaemtii na kumtumikia. Kwa kifupi Nyerere alikuwa anasema hatakubali nchi yake iende kwa vibaraka. Na unaposema unanukuu, inamaanisha unarudia yaleyale yaliyotamkwa au kuandikwa siku za nyuma na yule unayemnukuu
 
Hivi ile pension yake ya unaibu waziri mkuu aliipata?
 
Back
Top Bottom