Mrema: G-55 imekufa rasmi, haipo tena!

Mrema: G-55 imekufa rasmi, haipo tena!

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,183
Reaction score
2,100
Kutoka akaunti ya X ya Jon Mrema

Salaam,

kwa kuwa kundi Sogozi la G -55 limekufa rasmi na halipo tena , naomba kuwatangazia rasmi kuwa Usemaji wangu kwenye Kundi hilo umekoma rasmi .

Hivyo basi , kama kuna jambo lolote litakalotumia jina la Kundi hilo ieleweke kuwa ni watu watakuwa wanataka kutumia jina hilo kwa maslahi yao binafsi na hawaisemei G- 55 ambayo imeshakufa rasmi na haipo tena .

Nimeona niandike kwani kuna taarifa kuwa kuna watu wamepanga kutumia jina hilo ili kuwahadaa umma kuwa kundi hilo bado lipo jambo ambalo sio la kweli hata kidogo.

Asanteni sana ,
Aliyekuwa Msemaji wa G-55

Nakala : Media house zote .
 
Walikurupuka eti kutaka kumkomoa Lissu walivyokosa sifa ya uongozi - wakaamua kujiunga na CCM kutengeneza chama cha Upinzani mbadala wa CDM.

Mungu atawaumbua wote.
 
Back
Top Bottom