PreGE2025 Mrema: CHAUMMA inaenda kupambana na CCM kweli kweli na kuwa sauti ya UMMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,476
Reaction score
12,666
Kwa sababu huijui Katiba ya Chaumma unaweza kujiandikia chochote , Katiba iko wazi kuwa kama Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Muungano,Katibu mkuu lazima atoke upande wa pili wa Muungano ,period .

Mmezoea kuishi kwa kutunga sana uongo, acheni kuwa waongo na wazushi .

Chaumma next level ,inaenda kushiriki uchaguzi na kufungua fursa na milango mipya ya kupambana kuhakikisha sauti za wananchi zinasikilizwa na kutekelezwa

Anaandika mrema ktk X yake
USHAURI WANGU
VIJANA MSITUMIE KUWA NGAZI YA WANASIASA KUJINUFAISHA NA FAMILIA ZAO
 
Aibu Sana Sana Baadaye Watamkimbia Hashim Rungwe Spunda Na Ubwabwa
 
Kwa sababu huijui Katiba ya Chaumma unaweza kujiandikia chochote , Katiba iko wazi kuwa kama Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Muungano,Katibu mkuu lazima atoke upande wa pili wa Muungano ,period .

Mmezoea kuishi kwa kutunga sana uongo, acheni kuwa waongo na wazushi .

Chaumma next level ,inaenda kushiriki uchaguzi na kufungua fursa na milango mipya ya kupambana kuhakikisha sauti za wananchi zinasikilizwa na kutekelezwa

Anaandika mrema ktk X yake
USHAURI WANGU
VIJANA MSITUMIE KUWA NGAZI YA WANASIASA KUJINUFAISHA NA FAMILIA ZAO
Hakuna mtu alikuwa mzigo pale CHADEMA kama huyu jamaa. Aliulizwa na mwandishi kuwa kama Tundu Lissu hafai kuwa hata mwenyekiti wa chama chenu mliwezaje kumteua kuwa mgombea urais 2020?
Badala ya kujibu swali alishikwa na kigugumizi
 
Kwa sababu huijui Katiba ya Chaumma unaweza kujiandikia chochote , Katiba iko wazi kuwa kama Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Muungano,Katibu mkuu lazima atoke upande wa pili wa Muungano ,period .

Mmezoea kuishi kwa kutunga sana uongo, acheni kuwa waongo na wazushi .

Chaumma next level ,inaenda kushiriki uchaguzi na kufungua fursa na milango mipya ya kupambana kuhakikisha sauti za wananchi zinasikilizwa na kutekelezwa

Anaandika mrema ktk X yake
USHAURI WANGU
VIJANA MSITUMIE KUWA NGAZI YA WANASIASA KUJINUFAISHA NA FAMILIA ZAO
Ngoja ubwabwa uchache
 
Yaani huyu Devota Minja na Mrema ndiyo wanaenda kupambana na CCM?
Hivi mbona mnapenda sana kuonesha IQ ya Mtanzania iko chini ya 60?
 
Tangu lini siasa za magugumaji zikaungwa mkono na wananchi?
 
Kila la kheri Mwenezi mpya CHAUMA,ila sasa ADUI awe CCM na si CDM..mkilitekeleza hili itakuwq safi ..ingawa moyo wangu una MASHAKA
Hapa ndipo mtego ulipo.
Wakishindwa ku deal na ccm wakaifanya CHADEMA kuwa adui yao no 1 watakuwa wamefail.

Hata hivyo hakuna mwenye ushawishi katika hilo kundi lililohamia CHAUMMA. Wote wanaunganishwa kwa njaa ya matumbo yao. Njaa ikiwaisha watagombana tu
 
Kwa sababu huijui Katiba ya Chaumma unaweza kujiandikia chochote , Katiba iko wazi kuwa kama Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Muungano,Katibu mkuu lazima atoke upande wa pili wa Muungano ,period .

Mmezoea kuishi kwa kutunga sana uongo, acheni kuwa waongo na wazushi .

Chaumma next level ,inaenda kushiriki uchaguzi na kufungua fursa na milango mipya ya kupambana kuhakikisha sauti za wananchi zinasikilizwa na kutekelezwa

Anaandika mrema ktk X yake
USHAURI WANGU
VIJANA MSITUMIE KUWA NGAZI YA WANASIASA KUJINUFAISHA NA FAMILIA ZAO
Hashim Rungwe ameingizwa choo Cha kike!
 
Back
Top Bottom