Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 752
- 1,810
Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party taifa Agustino Lyatonga Mrema amewataka wapinzani wa vyama vya siasa hapa chini kuacha kumzodowa, kumkashifu na kumzalilisha kwa kumwita dikteta rais John Pombe Magufuli kwani kufanya hivyo kunakiuka misingi ya utawala bora na haki za binadamu kwani kiongozi huyo anatakiwa kuheshmiwa kama mkuu wa nchi aliyechaguliwa na watu wengi.
Mrema ameyasema hayo jijini Dar es salaam wakati akiongea na vyombo vya habari kwani yeye yuko tayari kuburuzwa na wapinzani mchwara.