Mrema ni moja ya watu ambao wameteseka sana na Ugonjwa wa Kisukari.. kutokana na Mateso makali ambayo alikuwa anayapata taarifa ya Tiba ya Ajabu inayotibu magonjwa sugu kwake ilikuwa ni neema kubwa sana, kwani yeye ia alikuwa Mmoja wa watu ambao walipanga Foleni na kuvumilia jua kali na njaa pia mpaka alipo pata fursa ya kunywa kikombe kimoja cha dozi ya Ajabu.
Mrema anasema alikunywa Jumamosi ya tarehe 12 March na kusema toka alipo kunjwa Dawa hiyo anajisikia mwepeso na mtu mpya kabisa, kwa hiyo anataka kwenda kwa Daktari ili apate vipimo ili aweze kuthibitisha.
Je mrema atapona au vipi?