Mrema atua Loliondo kuimarisha afya yake

Fangfang wewe hutakigi ubishi usio na maana na ndo maana umeweka na Ushahidi kabisaaaaaaaa,, sASA Fisadi Rosta ana sema nini yeye kama anaabudu Mibuyu atutokee hapa kwanza sisis tunamshukuru Mungu kwa Maajabu aliyo tuletea.
 
Napenda Sana Mrema akiwa anahojiwa coz najua tu kuna kichekesho ataweka kati kati.

Truth will set u Free
 
Teh eti mrema ni Comidian hata kwenye Campaign zake hutumia Comedy zake kuwateka wapiga kura Twhw
 
Back
Top Bottom