Mrema aitolea uvivu CHADEMA

Huyu Mrema kafulia kisiasa.......kunyamaza hawezi! anabaki kujikosha kwa serikali masikini!!

au uzee na maradhi ndo vinavyosababisha awe hivyo???

.......stage za utotoni zinajirudia tena, thinking capacity yake ni kwishney,!! MASIKINI MREMA!!!!
 
Tatizo la mtoa hoja amesahau kuwa watz ni "wavivu" wa kusoma, ameandika gazeti zima!
 
Tatizo la mtoa hoja amesahau kuwa watz ni "wavivu" wa kusoma, ameandika gazeti zima!


sie wasomaji wa raia mwema na mwanahalisi tuna uwezo wa kusoma gazeti zima mpaka ukurasa wa michezo.....na sie wanafunzi wa chachage tumefundishwa kusoma kuanzia kitabu cha max volume ya kwanza mpaka ya mwisho ili ijubi swali moja la chachage....kusoma kwetu si tabu au adhabu ni kuongeza maarifa na ujuzi

kumbuka hakuna generalization....hakuna sisi 'watanzania wavivu' wa kusoma ......kuna mtanzania mmoja mmoja mvivu wa kusoma....siwezi kugeneralizi taarifa za kijiji kimoja tu sembuse taifa

mix with yours
 
It is unthinkable to be at the otherside while still playing a game of the this side whatch out cause the coach might deside never to select you at either side
 
hakika ndugu yangu mrema umemsoma vizuri sana, huyu ni zaidi ya kibaraka au msaliti!!! njaa inamsumbua sana, huyu ni yule mrema ambaye tulisukuma gari zake na pia tulimbeba juu kwenye maandamano alokuwa anaitisha na NCCR ili tupigwe mabomu na yeye apate mradi wake. huyu mrema atuambie leo ndo kajua kwamba maaandamano yanafanya nchi isitawalike?au kama alijua toka NCCR nini ilikuwa lengo lake mwehu huyu? kumbe ambacho wananchi hawakujuwa ni kwamba mrema alikuja upinzani ili kupata lift tu ya kwenda ikulu na sio uchungu na nchi yetu. sasa tunaamini hata yake makelele yake ya chavda na loliondo yaliletwa na kupunjwa cha juu tu na sio vinginevyo. wana jf msisahau pia kauli yake akiwa bado rasmi ndani ya ccm, alipobanwa na media alijibu loliondooooo loliondoooo, ya mama yenu.? we mrema utakufa kwa aibu mcharuko wewe
 
Nadhani Mrema hajanywa mbege...akipata 'nguchu'mbili tatu atakuwa normal.
 
Mrema alikuwa yule wa 2005, huyu wa sasa ni uchakachuaji tu. anafuta mwenyewe historia aliyoiweka
 
Chadema wakichukua madaraka inaonekana ni wengi watajinyonga! Wa kwanza ni Zombe, na huyu bwana naona kama anataka kufuata mkumbo!
 

Hongera kwa analysis ya ukweli.
 
Siku ya ukombozi wa pili wa Taifa letu ikifika, Mrema nawe tafuta pa kutokea maana kwani umjiatambulisha na mafisadi na wahujumu wa mama yetu Tanzania.
 
Huyu mzee anatafuta pa kufia tu, mara nyingi mtu akikaribia kukata roho anakuwa anahangaika na kusemasema ovyo, kikombe cha babu ndiyo hivyo kimedunda, afya inazidi kutetereka.
 
Chadema wakichukua madaraka inaonekana ni wengi watajinyonga! Wa kwanza ni Zombe, na huyu bwana naona kama anataka kufuata mkumbo!
Wakati wa uchaguzi aliwaomba wapiga kura wake wampigie kura AKAFIE BUNGENI- anadhihirisha kifo chake hapo alipo anaandaa utitili wa watu kutoka CCM wa kumzika.
 
Tatizo la mtoa hoja amesahau kuwa watz ni "wavivu" wa kusoma, ameandika gazeti zima!

Haishangazi. Wakina mrema mko wengi. Hii hali ya umaskini wa nchi yetu kwa sasa wengi watachanganyikiwa sana. Tutegemee kuona wengi wakiokota makopo barabarani na majalalani. Mtoa hoja ameandika kwa umahili mkubwa kwamba pamoja na kuandika "gazeti" uliloliona wewe
text and the contents kama alivyoeleza ndio ukweli wenyewe. HONGERA SANA MTOA HOJA achana na pumba pumba hizo zinazokejeli
 
Mrema amefika mahali leo anahoji eti kwanini watu wanamshangaa yeye ku attend mkutano wa taifa wa chama tawala....anashindwa kujiuliza kwanini watu hawakuwalaumu watu au wapinzani wengine waliohudhuria kikao hicho....mrema una historia ya kukataa kwenda ikulu ya mkapa kufanya nae mazungumzo kisa mkapa alisema kuwa ...kiongozi wa upinzani akitaka kuja kuniona sharti akatae hadharani dhana nzima maandamano yanayoleta fujo (hii ilikuwa ni baada ya Jan 27 cuf walipouawa znz, na pia akija awe na HOJA SI KUJA KUPIGA PICHA NA RAIS...mrema ulisema kamwe huwezi kuvumilia kejeli hizi za ben na hivyo huna haja ya kufika magogono kwa mazungumzo....muda mfupi baadae unaonekana kwenye mkutano uliojaa kila vijembe dhidi ya wapinzani na wewe ukainuka kuchangia kwa kujipendekeza....bado unataka tukusifi au tunyamaze kimya....unastahili kuitwa msalitiwa wa wapigania haki na maendeleo na sio kibaraka tu

mix with yours
 
hi Mrema anaJIKOMBA kwa JK ili arudishiwe marupurupu eti ya Naibu Waziri Mkuu! kama alivyorudishiwa Maalim Seif ya Waziri Kiongozi. hivyo "kubusu makalio ya Boss"( kiss your boss ass") ili apate ofa hiyo kwake ni Muhimu. Pia ana Wivu na wanaCDM kwa jinsi wanavyomwagiwa sifa na Walalahoi wa taifa hili. Mrema hana Jipya akafie zake huko anakojiKOMBA. Na haya marupurupu hatakaa apate hata akirudi CCM.
 
Huyu shuhuda wa babu wa loliondo sijui kwanini alipewa kikombe, hana haja ya kujinyonga atanyongwa na sukari. Ile ni kesi ukimkamata ukamlisha sukari kinaeleweka parapanda za kutosha tunawapelekea vunjo kichwa chao walichoona kinafaa kuwawkilisha bungeni.
 
PEOPLE..LEO MREMA AMEKULA CHUMVI NYIE HAMJALA.SASA AMEBAKIZA MIAKA MINGAPI??? NA NI KWA NINI AFE KWA PRESSURE SASA??MWACHENI MZEE WA WATU AFANYE AWEZAYO ILI MRADI ASIFE KWA AIBU.BADO NINAAMINI ANA AKILI YA KUEGEMEA PENYE UZITO KULIKO KUJISHIKA NA BUA. DO YOUR BEST MR MREMA You are very near to 7.00pm you must go sleep. Hakikisha wajukuu wana urith wa kutosha.MAY GOD BLESS YOU
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…