Mrema aitolea uvivu CHADEMA

Wadau,

Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema ameyalaani vikali maandamano ya Chadema yanayoanza kesho nyanda za juu kusini. Mrema anadai kwamba CHADEMA wanaandamana kudai mambo ambayo tayari serikali inayafanyia kazi..ametoa mfano wa katiba mpya.

Mrema ameenda mbali zaidi na kusema kwamba CHADEMA wanataka kuvuruga amani na kuleta uchochezi ili nchi isitawalike. Amewasihi polisi wawazuie CHADEMA na kuvuruga mikutano na maandamano yao.

Mrema anajidai kusema kwamba eti yeye ndiye mwenye uchungu na nchi hii na ndio maana anakamata viongozi wa halmashauri wanaoendekeza vitendo vya ufisadi.

Hakika kila mtu aliyemsikia Mrema amejiuliza mara mbilimbili yeye ni nani hata aisemee serikali????

Mrema ana maoni gani kuhusu maandamano ya CCM jana huko Rukwa? Mrema na TLP wana maoni gani kuhusu katiba, kupanda kwa gharama za maisha, na kudorora kwa maadili kwa viongozi wetu? Ni aibu mno kwa mwanaume mzima kuaga familia kila siku asubuhi anaenda kazini kumbe kazi yenyewe ni u-kibaraka. total humiliation.
 
Mrema akihutubia Al Shabaab

mrema.jpg
 
JK aliwaomba wananchi wawapuuze CDM mara baada ya maandamano ya Mwanza, Mara na Shinyanga lakini wananchi wa Kagera wakampuuza sembuse Mrema
 
Wadau,

Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema ameyalaani vikali maandamano ya Chadema yanayoanza kesho nyanda za juu kusini. Mrema anadai kwamba CHADEMA wanaandamana kudai mambo ambayo tayari serikali inayafanyia kazi..ametoa mfano wa katiba mpya.

Mrema ameenda mbali zaidi na kusema kwamba CHADEMA wanataka kuvuruga amani na kuleta uchochezi ili nchi isitawalike. Amewasihi polisi wawazuie CHADEMA na kuvuruga mikutano na maandamano yao.

Mrema anajidai kusema kwamba eti yeye ndiye mwenye uchungu na nchi hii na ndio maana anakamata viongozi wa halmashauri wanaoendekeza vitendo vya ufisadi.

Hakika kila mtu aliyemsikia Mrema amejiuliza mara mbilimbili yeye ni nani hata aisemee serikali????

Huyu Mrema dawa yake ni kumshusha jukwani siku moja labda atajua kumbe Tanzania ya leo sio ile ya mwaka 47. Hajui watanzania tumebaki kama yatima. Wamezoea kuchuma kama shamba la bibi na ule msemo wao chukua chako mapema.

Serikali itambuye kazi inayofanywa na chadema ilikuwa ni kazi yao kutokana na kilio cha wananchi cha siku nyingi. Serikali inatakiwa iwalipe chadema kwa kweli wanafanya kitu ambacho mafanikio yake ni makubwa sana katika jamii yetu, ukilinganisha na hali ya kitabaka iliyopo sasa hivi.

Tunaomba watambue tumezidiwa kunyonywa na baadhi ya watendaji wasiokuwa waadilifu kama wala rushwa, uwizi serikalini, utapeli ambao umechukua nafasi kubwa kama vile kuna shule inafundisha hilo somo, uongo, uonevu kwa raia bila sababu za msingi, kuelimisha raia uhuru walionao na jinsi ya kutumia uhuru huo, kujua matatizo yaliyopo kila upande nk. Wao walijisahau mafisadi wakachua nchi na sisi tumeshindwa kuwavumilia, lazima tuikomboe Tanzania yetu kutoka mikononi mwa mafisadi wakoloni weusi wasikuwa na huruma.

Mungu ibariki chadema, ibariki Tanzania yetu.:israel:
 
...what else can u expect from lyatonga? RIP mrema!

nadhani kisukari kimeenda mpaka kichwani
 
Alishasema anaishukuru CCM kwa kumrudisha katika system kwa kuwa watu walishasema Mrema amechoka na kufulia, ngoja alipe fadhila
CCM haijui kuwatumia watu kama Mrema they are so open to even mwendawazimu kutambua malengo yao kwa hiyo inakuwa si rahisi kuwapata watu waelewa.
 
Wadau,

Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema ameyalaani vikali maandamano ya Chadema yanayoanza kesho nyanda za juu kusini. Mrema anadai kwamba CHADEMA wanaandamana kudai mambo ambayo tayari serikali inayafanyia kazi..ametoa mfano wa katiba mpya.

Mrema ameenda mbali zaidi na kusema kwamba CHADEMA wanataka kuvuruga amani na kuleta uchochezi ili nchi isitawalike. Amewasihi polisi wawazuie CHADEMA na kuvuruga mikutano na maandamano yao.

Mrema anajidai kusema kwamba eti yeye ndiye mwenye uchungu na nchi hii na ndio maana anakamata viongozi wa halmashauri wanaoendekeza vitendo vya ufisadi.

Hakika kila mtu aliyemsikia Mrema amejiuliza mara mbilimbili yeye ni nani hata aisemee serikali????

Hongera kwa kusema ukweli, tunajua CDM wana chuki nawe kwani Uenyekiti wa kamati ya bunge ya serikali za mitaa CDM wali ililia muda mrefu sana, bunge kwa kutumia busara wakawachinjia baharini. Sasa wamebakia na uwaziri kivuli ambao bungeni hauna meno.
 
Huyu Mrema dawa yake ni kumshusha jukwani siku moja labda atajua kumbe Tanzania ya leo sio ile ya mwaka 47. Hajui watanzania tumebaki kama yatima. Wamezoea kuchuma kama shamba la bibi na ule msemo wao chukua chako mapema.

Serikali itambuye kazi inayofanywa na chadema ilikuwa ni kazi yao kutokana na kilio cha wananchi cha siku nyingi. Serikali inatakiwa iwalipe chadema kwa kweli wanafanya kitu ambacho mafanikio yake ni makubwa sana katika jamii yetu, ukilinganisha na hali ya kitabaka iliyopo sasa hivi.

Tunaomba watambue tumezidiwa kunyonywa na baadhi ya watendaji wasiokuwa waadilifu kama wala rushwa, uwizi serikalini, utapeli ambao umechukua nafasi kubwa kama vile kuna shule inafundisha hilo somo, uongo, uonevu kwa raia bila sababu za msingi, kuelimisha raia uhuru walionao na jinsi ya kutumia uhuru huo, kujua matatizo yaliyopo kila upande nk. Wao walijisahau mafisadi wakachua nchi na sisi tumeshindwa kuwavumilia, lazima tuikomboe Tanzania yetu kutoka mikononi mwa mafisadi wakoloni weusi wasikuwa na huruma.

Mungu ibariki chadema, ibariki Tanzania yetu.:israel:

Kumbe mnataka kulipwa, njoo ww na CDM yako ntawalipa mie ila mkubaliane na masharti yangu tu
 
Hongera kwa kusema ukweli, tunajua CDM wana chuki nawe kwani Uenyekiti wa kamati ya bunge ya serikali za mitaa CDM wali ililia muda mrefu sana, bunge kwa kutumia busara wakawachinjia baharini. Sasa wamebakia na uwaziri kivuli ambao bungeni hauna meno.
Nafikiri wakati wa kuandika huwa hushirikishi ubongo wako sasa hapa ni yupi mwenye chuki anayepinga maandamano ya wenzake au CDM walioandaa maandamano, kama Chadema wangepinga maandamano ya Mrema tungesema wana chuki sasa ni Mrema anayepinga, jamani hata kama mmelazimishwa kuja kupinga kila kitu mnapoandika angalau mwe na logic basi LOL!!!
 
Ww mwenyewe hapo una chuki na Mrema pamoja na chama chako ! kwani Mrema hata km kuna jema kama hili analisema, ww unapinga kwa husuda zenu za kutaka madaraka
 
Huyu bwana anajiaibisha, sijui kwa nini asitunze heshima yake. Ama kweli njaa haina adabu na maskini hana kiapo. Alivyokuwa anpigwa mabomu kuongoza maandamano ya kutete haki leo anasema wanofaya hivyo wanahatrisha amani DU!!
 
Kumbe mnataka kulipwa, njoo ww na CDM yako ntawalipa mie ila mkubaliane na masharti yangu tu

Si tunaona masharti yenu yanavyofanya kazi ndugu yangu. Hayo malipo mliyozoea ya uchochoroni yanamfaa Mrema na TLP, kwani huoni kazi anayofanya ya kugandamiza uhuru na chokochoko zake za udikteta. Na kama unauwezo wa kulipa mbona mnahangaika na kukimbilia vyombo vya dola.:bange:

Si unaona mwendo mdundo wa people'sss powerrr!!!!!!!!!!.:israel:
 
Labda kwa kuwa ameenda kwa Babu Ambasakile Mwasapila hapo Loliondo na akapata auheni na ndiyo maana akapata pumzi ya kuropoka hovyo utafikiri anaona wa2 wamelalaga kama miaka 1990. Huyu 2mwacheni jinsi alivyo2.
 
Huyu Mrema anayobahati Mungu kumleta Babu wa Loliondo sivyo!!.Kachoka kiakili kimawazo,matibabu ya mwanzo alisaidiwa na mkuu wa Kaya,kamati aliyopo amepewa na Chama cha Magamba kifupi Mrema yupo ccm hivyo atatetea sera za mume wake milele.Chadema maandamano kama kawaida wafumbueni macho walio na macho lkn hawaoni
 
Back
Top Bottom