Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,809
- 40,562
Mimi sijambo kabisaa
Namshukuru Mungu kwa kweli, anazidi kunibariki. Vipi wewe eti, hujambo?!
Utoto huo, weka sura lako hapa, au la sista wako ndo tuwakompee na tuliokutana nao humu.Wakuu habari za weekend!
Siku za hivi karibuni nilipata bahati ya kuwapm mademu wanne hapa JF.
Kwa bahati mbaya sikutegemea kile nilichokiona na kile nilichokuwa nafikia kinaweza kuwa sio sawa.
Nimeendelea kuchati na hao mademu kwa muda mpaka tukafikia hatua ya kupeana namba kwa mawasiliano zaidi.
Tuliendelea kuchati mpaka tukafikia hatua ya kutumiana picha ili tujilidhishe kwa kila mmoja wetu.
Hakika nimeamini mwanamke mzuri ni yule unaeonana nae USO kwa USO na sio kwenye mitandao.
Kuanzia Leo nimekoma kupm mademu wa mitandaoni,
Kwa hao mademu wanne wote ni wabaya sana tena sana.
Kwa wenye uzoefu na PM za watu watadhibitisha hapa.
NIMEKOMA,SITAKI TENA MADEMU WA MITANDAONI.
Kwa nini hukupita kwa consultant wako hapa[mimi], ukitaka upate wife material mkali humi basi usiandike uzi wa kutafuta, kutaneni coincidently kama mimi na unforgetable.Wakuu habari za weekend!
Siku za hivi karibuni nilipata bahati ya kuwapm mademu wanne hapa JF.
Kwa bahati mbaya sikutegemea kile nilichokiona na kile nilichokuwa nafikia kinaweza kuwa sio sawa.
Nimeendelea kuchati na hao mademu kwa muda mpaka tukafikia hatua ya kupeana namba kwa mawasiliano zaidi.
Tuliendelea kuchati mpaka tukafikia hatua ya kutumiana picha ili tujilidhishe kwa kila mmoja wetu.
Hakika nimeamini mwanamke mzuri ni yule unaeonana nae USO kwa USO na sio kwenye mitandao.
Kuanzia Leo nimekoma kupm mademu wa mitandaoni,
Kwa hao mademu wanne wote ni wabaya sana tena sana.
Kwa wenye uzoefu na PM za watu watadhibitisha hapa.
NIMEKOMA,SITAKI TENA MADEMU WA MITANDAONI.
Habari za mchana!
Naomba nikuulize, ulikuwa unafanya utafiti, unatafuta mke, au unatafuta rafiki?!
Kama jibu lako ni mojawapo, tambua jambo moja, hakuna kitu muhimu kama kuwa na kifua. Hukumpata uliyekuwa unamtarajia basi baki nalo. Hakuna mtu mbaya, awe mwanamke au mwanaume! Kila mmoja ako na uzuri wake!
Hii ni jamii, kuna watu wa kila aina! Wenye maumbo tofauti, wenye kimo tofauti na wenye rangi tofauti!
Weekend njema.
AmeinSijambo Kigori. Uwepo wako tu uliojaa afya tele kwangu mimi ni baraka tosha sihitaji kingine.
Anaonekana kabisaa, awe na kifua!Mkuu vijana wa wenye hulka za namna hii ndio wanaoziba bahati za wengine na kusababisha wadada kufunga PM zao. Hizi ni akili za mtu ambaye bado hajapevuka vizuri.
Unapata wapi ujasiri wa kumkebehi kiumbe aliyeumbwa kwa sura na mfano wa yule aliye juu ?Wakuu habari za weekend!
Siku za hivi karibuni nilipata bahati ya kuwapm mademu wanne hapa JF.
Kwa bahati mbaya sikutegemea kile nilichokiona na kile nilichokuwa nafikia kinaweza kuwa sio sawa.
Nimeendelea kuchati na hao mademu kwa muda mpaka tukafikia hatua ya kupeana namba kwa mawasiliano zaidi.
Tuliendelea kuchati mpaka tukafikia hatua ya kutumiana picha ili tujilidhishe kwa kila mmoja wetu.
Hakika nimeamini mwanamke mzuri ni yule unaeonana nae USO kwa USO na sio kwenye mitandao.
Kuanzia Leo nimekoma kupm mademu wa mitandaoni,
Kwa hao mademu wanne wote ni wabaya sana tena sana.
Kwa wenye uzoefu na PM za watu watadhibitisha hapa.
NIMEKOMA,SITAKI TENA MADEMU WA MITANDAONI.
Mtakutana na mtu anatisha muanze ku log out bila kupendaWeka picha yako