chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 645
Ivi mastaa wanaotongozana kupitia media mbn awatuletea feed back zao mrejesho imekuwaje wamekubaliana au ndo wametoleana njee mfano sterio alivyo mtongoza chemical atujapata mrejesho bado... mzee wa hiphop ngumu kanasa...