Kwani alikuwa hajui nini matokeo yake hapo baade? Au alikuwa na kitu kipya kwahiyo akawa anausongo hadi domo kuwa hivyo?kama ni mkeo/mpnz wako wa siku zote sidhani kama unaweza kupata majanga hayooo mkuu!!ila poleeee yake!!!
mshana jr, ripoti nzuri ya kuchekesha na kustaajabisha, lakini haijakamilika. kama end moja ya mwili wa huyo mhusika ilikuwa hivyo, je, what did the other end look like? (got me?)
mshana jr, ripoti nzuri ya kuchekesha na kustaajabisha, lakini haijakamilika. kama end moja ya mwili wa huyo mhusika ilikuwa hivyo, je, what did the other end look like? (got me?)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.