skilled masala
Senior Member
- May 2, 2019
- 117
- 160
Habari wana jf hapo nyuma kabla ya kuanza maombi ya vyuo niliomba ushauri kuhusu course gani ni nzuri kusoma kati ya journalism na Human resource nimepata Human resource Mwalimu nyerere (MNMA) na Journalism University of iringa je ni wapi naweza kupata elimu iliyo thabiti though course ni tofauti. University of Iringa upande wa journalism wapo vizuri?, mwalimu nyerere HR wapo vipi nao? Mwenye kujua anisaidie bado nafikiria niconfirm wapi.
Natanguliza shukurani🙏
Natanguliza shukurani🙏