Mrejesho wa mkeka wa Utumishi

Mrejesho wa mkeka wa Utumishi

Kwanini asifanye vyote.
Hujasikia watu wapo serikalini na bado Wana kampuni zao.
Unafikiri Mkuchika, Majaliwa etc hawana side hustle?
Yote kwa yote yeye aliyeacha biashara yake akaenda ktk kuajiriwa anajua zaidi ktk hili.
Ajira unayo ajiriwa ni biashara ya mtu. Maana yake unakwenda kumsaidia kufanya biashara yake. Ukiutambua huo mfumo huwezi kuidharau biashara hata iwe ndogo. Hao unaosema wanafanya biashara wakiwa kwenye ajira. Wanafanya biashara feki. Waondoe hapo kwenye ajira kisha waache wategemee biashara tu uone kama watasurvive. 😀😀😀😀😀😀
 
Wakuu,nawashukuru sana kwa maoni,ushauri na hoja zenu za kujenga na kushirikisha mawazo,mkeka wangu wa utumishi umetik..kwa sasa naona nikiachana na biashara za kukimbizana na migambo barabarani...na machungwa yangu...kwa vijana wenzangu wote pia nawashauri kutokata tamaa kwa lolote na kutokuogopa kujaribu fursa yoyote inayokuja mbele zako.Mimi sikuwa na connection yoyote ile,tofauti na kasumba ya wengi wanavyowazaga...Msiogope na wala msione aibu katika kujitaftia rizq halali.Jana nimeona mkeka nilivyokuwa kijiweni nikimenya machungwa kwenye jua Kali...itoshe tu kusema tumshkuru Mungu kwa yote.
Hongera sana mkuu
 
Jamani niliomba kazi Utumishi lakini silioni jina langu kwenye orodha ya walioitwa kufanya usaili, ni utaratibu gani niufuate ili jina langu liwe miongoni mwa majina ya nyongeza?
Mkuu nafkiri ukiangalia kwenye website ya utumishi pale wana namba zao za mawasiliano,Fanya hima uwachek kwa ufafanuzi zaidi..au kwa changamoto yoyote uliyonayo kwenye swala nzima la ishu yako

Sent from my TECNO DP10A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom