X man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 611
- 587
Mungu akutangulieTAA....airpoti mkuu
Mungu akutangulieTAA....airpoti mkuu
Kada gani boss?Wakuu,nawashukuru sana kwa maoni,ushauri na hoja zenu za kujenga na kushirikisha mawazo,mkeka wangu wa utumishi umetik..kwa sasa naona nikiachana na biashara za kukimbizana na migambo barabarani...na machungwa yangu...kwa vijana wenzangu wote pia nawashauri kutokata tamaa kwa lolote na kutokuogopa kujaribu fursa yoyote inayokuja mbele zako.Mimi sikuwa na connection yoyote ile,tofauti na kasumba ya wengi wanavyowazaga...Msiogope na wala msione aibu katika kujitaftia rizq halali.Jana nimeona mkeka nilivyokuwa kijiweni nikimenya machungwa kwenye jua Kali...itoshe tu kusema tumshkuru Mungu kwa yote.
Me ninachoamin Utumishi ukiwa na akili kichwan na ukamtanguliza mungu kutoboa ni asilimia kubwaWakuu,nawashukuru sana kwa maoni,ushauri na hoja zenu za kujenga na kushirikisha mawazo,mkeka wangu wa utumishi umetik..kwa sasa naona nikiachana na biashara za kukimbizana na migambo barabarani...na machungwa yangu...kwa vijana wenzangu wote pia nawashauri kutokata tamaa kwa lolote na kutokuogopa kujaribu fursa yoyote inayokuja mbele zako.Mimi sikuwa na connection yoyote ile,tofauti na kasumba ya wengi wanavyowazaga...Msiogope na wala msione aibu katika kujitaftia rizq halali.Jana nimeona mkeka nilivyokuwa kijiweni nikimenya machungwa kwenye jua Kali...itoshe tu kusema tumshkuru Mungu kwa yote.
Kwahyo ulichagua nafasi moja ya uwajibikaji..?Me ninachoamin Utumishi ukiwa na akili kichwan na ukamtanguliza mungu kutoboa ni asilimia kubwa
Mimi n mmoja wapo nmepiga interview mara mbil na zote jin lilirud na wala sina mtu yeyt pale
Hongera sana mkuuMe ninachoamin Utumishi ukiwa na akili kichwan na ukamtanguliza mungu kutoboa ni asilimia kubwa
Mimi n mmoja wapo nmepiga interview mara mbil na zote jin lilirud na wala sina mtu yeyt pale
Safi Sana ndugu yangu, umeongea nenoMe ninachoamin Utumishi ukiwa na akili kichwan na ukamtanguliza mungu kutoboa ni asilimia kubwa
Mimi n mmoja wapo nmepiga interview mara mbil na zote jin lilirud na wala sina mtu yeyt pale
Me ninachoamin Utumishi ukiwa na akili kichwan na ukamtanguliza mungu kutoboa ni asilimia kubwa
Mimi n mmoja wapo nmepiga interview mara mbil na zote jin lilirud na wala sina mtu yeyt pale
Hivi inawezekana mtu akamaliza chuo bila kuwa na akili boss. Au umeanza kuongea kama mzee makamba baada ya kushiba asali.Me ninachoamin Utumishi ukiwa na akili kichwan na ukamtanguliza mungu kutoboa ni asilimia kubwa
Mimi n mmoja wapo nmepiga interview mara mbil na zote jin lilirud na wala sina mtu yeyt pale
Kwa jinsi wale jamaa walivyo Makini,usaili wa written hauvuji hata siku moja.Ni kupambana tu mwenyewe.Me ninachoamin Utumishi ukiwa na akili kichwan na ukamtanguliza mungu kutoboa ni asilimia kubwa
Mimi n mmoja wapo nmepiga interview mara mbil na zote jin lilirud na wala sina mtu yeyt pale
Nikwambie kitu tupo aina nyingi kuna wale ambao wanasom il wapate cheti nkuna yule ambaye anasoma ili apate ujuzi na kuelew nn maana halisi ya cheti alichokipataHivi inawezekana mtu akamaliza chuo bila kuwa na akili boss. Au umeanza kuongea kama mzee makamba baada ya kushiba asali.
Kabisaa yaan usiende huku unategemea simu wala kibuti wala Akil ya mtu cha msingi ni kusoma kwa kuelewa TuKwa jinsi wale jamaa walivyo Makini,usaili wa written hauvuji hata siku moja.Ni kupambana tu mwenyewe.
Haaaaa....typical Africans...Endelea na biashara yako kwasababu hiyo kazi hutofanya milele. Utastaafu utarudi tena kwenye machungwa.
Na Utumishi interview ya written ukiptA ukaingia oralSafi Sana ndugu yangu, umeongea neno
😂😂😂😂HahhhhhHivi inawezekana mtu akamaliza chuo bila kuwa na akili boss. Au umeanza kuongea kama mzee makamba baada ya kushiba asali.
Sijataka kabisaa kuweka mtu katKwahyo ulichagua nafasi moja ya uwajibikaji..?
tatizo lipo kwenye kazi zile za post moja competition inakuwaga kubwaNa Utumishi interview ya written ukiptA ukaingia oral
Ukikaza kidogo kaz hii Hapa😄👏
Yaani nilichozungumza hapo ni ukweli mtupu. Asidharau kazi ya biashara. Biashara ndio kila kitu hapa duniani. Hapo anatakiwa ndio akadhane kwenye biashara. Haijalishi unauza machungwa, maziwa ama pipi. Cha msingi unaweza kubuni na kuitengeneza hela kwa akili yako. Lakini ajira unachukua hela iliyotengenezwa na mtu mwingine huku wewe ukitumia muda wako vibaya na kusubiri kustaafu. Ukisha staafu lazima ujiajiri tena. Either ulime au ufanye biashara.Haaaaa....typical Africans...
Why don't we see the positive side of it?
Nimeleewa huu mtizamo ila sasa wengi wetu unakuta MTU kaweka macho yote kwenye ajira kuhangaika akikosa anakata tamaa na kuishi maisha ya kulaumu...Mimi hata siku moja sidharau MTU kwenye biashara yake hata iwe ndogo kiasi gani...najua ilikonitoa...nimedunguliza Miamia nikamek miaka miwili nikapata ada ya chuo nikasoma hivyohivyo kuungaunga mpaka nilivyomaliza...kwa biashara hizi hizi ndogondogo...vijana tuamke kutoka kasumba hii...kazi ni nyingi ila ajira ni chache ...tupambane jamani...ndio mawazo yangu....wala sikumaanisha kuwa ajira ni bora kuliko biashara...maana nipo kotekote...nimeacha ajira zaidi ya 6,kwajili ya machungwa....so,naelewa vizuri mkuuYaani nilichozungumza hapo ni ukweli mtupu. Asidharau kazi ya biashara. Biashara ndio kila kitu hapa duniani. Hapo anatakiwa ndio akadhane kwenye biashara. Haijalishi unauza machungwa, maziwa ama pipi. Cha msingi unaweza kubuni na kuitengeneza hela kwa akili yako. Lakini ajira unachukua hela iliyotengenezwa na mtu mwingine huku wewe ukitumia muda wako vibaya na kusubiri kustaafu. Ukisha staafu lazima ujiajiri tena. Either ulime au ufanye biashara.
Yaan nd kukaza ubak hat kweny dat basetatizo lipo kwenye kazi zile za post moja competition inakuwaga kubwa
Kwanini asifanye vyote.Yaani nilichozungumza hapo ni ukweli mtupu. Asidharau kazi ya biashara. Biashara ndio kila kitu hapa duniani. Hapo anatakiwa ndio akadhane kwenye biashara. Haijalishi unauza machungwa, maziwa ama pipi. Cha msingi unaweza kubuni na kuitengeneza hela kwa akili yako. Lakini ajira unachukua hela iliyotengenezwa na mtu mwingine huku wewe ukitumia muda wako vibaya na kusubiri kustaafu. Ukisha staafu lazima ujiajiri tena. Either ulime au ufanye biashara.