Mrejesho wa mkeka wa Utumishi

grandMullah23m

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
235
311
Wakuu,nawashukuru sana kwa maoni,ushauri na hoja zenu za kujenga na kushirikisha mawazo,mkeka wangu wa utumishi umetik..kwa sasa naona nikiachana na biashara za kukimbizana na migambo barabarani...na machungwa yangu...kwa vijana wenzangu wote pia nawashauri kutokata tamaa kwa lolote na kutokuogopa kujaribu fursa yoyote inayokuja mbele zako.Mimi sikuwa na connection yoyote ile,tofauti na kasumba ya wengi wanavyowazaga...Msiogope na wala msione aibu katika kujitaftia rizq halali.Jana nimeona mkeka nilivyokuwa kijiweni nikimenya machungwa kwenye jua Kali...itoshe tu kusema tumshkuru Mungu kwa yote.
 
Mungu ni mwemaa....hongera zako!
 
Hongera sana chief.

Wakati wa Mungu ni wakati sahihi, hatimaye muda wako sahihi umefika.

Tunategemea ukawe mtumishi bora wa umma kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa..!!

Till next time..
 
Wakuu,nawashukuru sana kwa maoni,ushauri na hoja zenu za kujenga na kushirikisha mawazo,mkeka wangu wa utumishi umetik..kwa sasa naona nikiachana na biashara za kukimbizana na migambo barabarani...na machungwa yangu...kwa vijana wenzangu wote pia nawashauri kutokata tamaa kwa lolote na kutokuogopa kujaribu fursa yoyote inayokuja mbele zako.Mimi sikuwa na connection yoyote ile,tofauti na kasumba ya wengi wanavyowazaga...Msiogope na wala msione aibu katika kujitaftia rizq halali.Jana nimeona mkeka nilivyokuwa kijiweni nikimenya machungwa kwenye jua Kali...itoshe tu kusema tumshkuru Mungu kwa yote.
Endelea na biashara yako kwasababu hiyo kazi hutofanya milele. Utastaafu utarudi tena kwenye machungwa.
 
Wakuu,nawashukuru sana kwa maoni,ushauri na hoja zenu za kujenga na kushirikisha mawazo,mkeka wangu wa utumishi umetik..kwa sasa naona nikiachana na biashara za kukimbizana na migambo barabarani...na machungwa yangu...kwa vijana wenzangu wote pia nawashauri kutokata tamaa kwa lolote na kutokuogopa kujaribu fursa yoyote inayokuja mbele zako.Mimi sikuwa na connection yoyote ile,tofauti na kasumba ya wengi wanavyowazaga...Msiogope na wala msione aibu katika kujitaftia rizq halali.Jana nimeona mkeka nilivyokuwa kijiweni nikimenya machungwa kwenye jua Kali...itoshe tu kusema tumshkuru Mungu kwa yote.
Hongera sana mkuu kwa kubahatika kupata nafasi ya ajira
 
Back
Top Bottom