Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,986
Sio muungwana huyoAlikuja pm tukawasiliana ila toka nimpokee sijui yupo wapi yaani .just imagine
Sio muungwana huyoAlikuja pm tukawasiliana ila toka nimpokee sijui yupo wapi yaani .just imagine
Radio unafungua lini nije kuwa mama mkurugenzi ?
Radio unafungua lini nije kuwa mama mkurugenzi ?
Ahaaa mamaa CEO! usikate tamaa Mkuu ila kama una m 20 njoo pm nikupe ramani ya biashara za kufanya hapa mjini bila stressDuh! hahaha. Natafuta hela kwanza.
Anapigwa ze duduwanaume wa dar tushamteka mamaeeee
Halafu hapa unakuta wewe mwenyewe hata vitumbua huuzi....Ahaaa mamaa CEO! usikate tamaa Mkuu ila kama una m 20 njoo pm nikupe ramani ya biashara za kufanya hapa mjini bila stress
Anitafute aoneHalafu hapa unakuta wewe mwenyewe hata vitumbua huuzi....
Wivu tu unakusumbua. Niko nae hapa nilikuwa nakuchora tu unavyojidai unampokea.Anapigwa ze dudu
Unataka umfanye fursa...Anitafute aone
Nilipata mfadhili master club nitafute uone.kudanga kumelipaUnataka umfanye fursa...
Alivo mnene wala humuweziWivu tu unakusumbua. Niko nae hapa nilikuwa nakuchora tu unavyojidai unampokea.
wacha nicheke sijui nikuambie miss natafutaAlikuja na kapochi tu kaondoka kavaa raba zangu yaani nilinunua elf 50 Kenya.sina hamu.kaacha mtandio na visendo
Aisee! naona umeamua kumwaga ugali.Alivo mnene wala humuwezi