Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Kipindi cha magu njaa iko juu sana kwakweli,sijui shida ni nini.Ahaaaaa pole sana mkuu
Umenikumbusha jana kuna demu nimemtokea leo kaniomba elf kumi aisee nimemushangaa sana kwa kweli
Nilimwambia jibu moja tu dada punguza njaa na niondolee njaa zako hapa then futa namba yangu mpuuz mkubwa wewe
Nywana gete