Mrejesho wa kutafuta mchumba JF

Mrejesho wa kutafuta mchumba JF

Umerejesha kabla zoezi halijakamilika kuwa humu jf umekosa au unaendelea au sasa unahamia fb au unahitaji ushauri mwingine
 
  • Thanks
Reactions: lup
Mizinga muhimu,

kipimo mnachotumia kuona kama sisi ni wachunaji,ndicho hicho hicho tunachotumia kuwapima kama mmekomaa na mpo tayari kuchukua majukumu ya familia,siku zote baba ndio anahudumia familia sio mama 😎😎😀
Unatisha kwa maelezo waambie
 
Wengine vidume ila misheni tauni...JF kokoro hili
 
  • Thanks
Reactions: lup
Ahaaaaa pole sana mkuu

Umenikumbusha jana kuna demu nimemtokea leo kaniomba elf kumi aisee nimemushangaa sana kwa kweli

Nilimwambia jibu moja tu dada punguza njaa na niondolee njaa zako hapa then futa namba yangu mpuuz mkubwa wewe

Nywana gete
tehteh
 
Back
Top Bottom