Mrejesho wa kutafuta mchumba JF

Mrejesho wa kutafuta mchumba JF

Mizinga muhimu,

kipimo mnachotumia kuona kama sisi ni wachunaji,ndicho hicho hicho tunachotumia kuwapima kama mmekomaa na mpo tayari kuchukua majukumu ya familia,siku zote baba ndio anahudumia familia sio mama 😎😎😀
 
Namba yenyewe mfatano sio ya kweli iv naweza weka no yangu ya simu hadharani namna hiyo wewe!!!! Mwenye no yangu humu ni mtu mmoja tu nae ni kwasababu nafahamiana nae kitambo
Nipe na mimi niwe wa pili et shemu wangu
 
Kwa uandishi huo mkuu,nimeshindwa kumalizia 'sredi' yako....ukii edit nitag plz
 
Kuna demu fulani,nilianza naye mawasiliano ya simu,ila hatujawahi kukutana zaidi ya kukuonana kupitia picha,siku ya kwanza ya kujuana,akanipiga mziga,nikabaki nastaajabu,jana kujuana tu,leo mzinga!
 
Back
Top Bottom