Mrejesho wa kutafuta mchumba JF

Mrejesho wa kutafuta mchumba JF

Ndio hayo mkuu kuwa makini
 
Hata wanaume wapo matapeli humu, kuna mmoja kwa style anayotumia nadhani kaliza wadada wengi sana.

Ni sheria tu za humu haziruhusu lkn natamani nimuweke wazi kwa utapeli anaofanya
 
Kuna wanaume pia matapeli humu, wanatangaza kutafuta mchumba kumbe nia yake ni kuwapanga tu wadada foleni kwa hiyo usishangae kukutana na wadada wa style hzo PM..Goodluck
 
Ulishakutana na wa hivi?
 
Kuna wanaume pia matapeli humu, wanatangaza kutafuta mchumba kumbe nia yake ni kuwapanga tu wadada foleni kwa hiyo usishangae kukutana na wadada wa style hzo PM..Goodluck
Mie sio tapeli warah tena kama huamini njoo
 
Hata wanaume wapo matapeli humu, kuna mmoja kwa style anayotumia nadhani kaliza wadada wengi sana.

Ni sheria tu za humu haziruhusu lkn natamani nimuweke wazi kwa utapeli anaofanya
Sheria zinaruhusu kama utathibitisha utapeli wake.
 
Back
Top Bottom