MREJESHO WA KICHAPO KITAKATIFU

MREJESHO WA KICHAPO KITAKATIFU

Namshakende

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
771
Reaction score
1,903
Siku za hivi karibuni nilishirikisha hapa kisa changu kuhusu changamoto niliyopitia na mwanamke niliyekuwa naye kwenye Mahusiano. https://www.jamiiforums.com/threads/wake-zetu-shida-ni-nini.2333968/Wake . Tumeishi pamoja kwa muda, lakini tabia zake ziliniletea msongo wa mawazo na maumivu ya kihisia. Kwa bahati mbaya, mgogoro wetu ulifikia hatua ya kulumbana na mvutano mkali uliosababisha vurugu ( kichapo).

Baada ya tukio hilo, alikusanya vitu vyake na kurudi kwa mama yake. Jana amenitumia ujumbe akidai hajapata siku zake, na ana hofu kuwa huenda ni mjamzito. Akanitaka nitoe msimamo wangu kuhusu hali hiyo.

Msimamo wangu uko wazi: Kama hiyo mimba ipo, nitaitunza akiwa kwao. Mtoto akizaliwa, nitamchukua na kumpa malezi anayostahili. Lakini kuhusu yeye, safari yake kwenye maisha yangu imeishia hapo.

Sina muda wa kulea mtu mzima asiyeheshimu wala kuelewa thamani ya mwanaume. Mwanaume naye ni binadamu, ana moyo, ana mipaka. Usifikirie kila siku ni wewe tu unapaswa kuhurumiwa. Kuna wakati mtu anafunga kitabu na kusema imetosha!

Nimepigiwa simu na upande wa kwao, lakini nimewaambia kuwa nipo busy na shughuli zangu. Wamsikilize binti yao chochote atakachosema kina ukweli ndani yake. Sina muda wa kujadiliana nao, wajadiliane na mtoto wao.

Mimi najielekeza kwenye maisha yangu mapya.
 
Siku za hivi karibuni nilishirikisha hapa kisa changu kuhusu changamoto niliyopitia na mwanamke niliyekuwa naye kwenye mahusiano.https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2333968/ Tulikuwa tumeishi pamoja kwa muda, lakini tabia zake ziliniletea msongo wa mawazo na maumivu ya kihisia. Kwa bahati mbaya, mgogoro wetu ulifikia hatua ya kulumbana na mvutano mkali uliosababisha vurugu ( kichapo).

Baada ya tukio hilo, alikusanya vitu vyake na kurudi kwa mama yake. Jana amenitumia ujumbe akidai hajapata siku zake, na ana hofu kuwa huenda ni mjamzito. Akanitaka nitoe msimamo wangu kuhusu hali hiyo.

Msimamo wangu uko wazi: Kama hiyo mimba ipo, nitaitunza akiwa kwao. Mtoto akizaliwa, nitamchukua na kumpa malezi anayostahili. Lakini kuhusu yeye, safari yake kwenye maisha yangu imeishia hapo.

Sina muda wa kulea mtu mzima asiyeheshimu wala kuelewa thamani ya mwanaume. Mwanaume naye ni binadamu, ana moyo, ana mipaka. Usifikirie kila siku ni wewe tu unapaswa kuhurumiwa. Kuna wakati mtu anafunga kitabu na kusema imetosha!

Nimepigiwa simu na upande wa kwao, lakini nimewaambia kuwa nipo busy na shughuli zangu. Wamsikilize binti yao chochote atakachosema kina ukweli ndani yake. Sina muda wa kujadiliana nao, wajadiliane na mtoto wao.

Mimi najielekeza kwenye maisha yangu mapya.
Unahisi yupo humu?
 
Unaweza kumpa second chance kwa conditios fulani,since amesema ana kiumbe chako tumboni.
Huenda huyo ndio mpango wa Mungu.
Binadamu si wakamilifu tuna mapungufu
 
Acha kushauri ujinga mkuu. Second chance ya Mwanamke ni kutafuta mwingine. Mungu kawaumba wengi kwa maana. Kamwe mwanamke mmoja asikusumbue
Utabadilisha wangapi? Vimeo tupu hao watu, usishindane ma ulipotokea
 
Mwanaume naye ni binadamu, ana moyo, ana mipaka. Usifikirie kila siku ni wewe tu unapaswa kuhurumiwa. Kuna wakati mtu anafunga kitabu na kusema imetosha
Umemtomba weeee tangu chuchu zipo mwiba saa 6 sasa unaona chuchu lishakua ndala 12 jioni unamtia mangumi umemchoka unamtimua aende kwao kisa chuchu yebo tako hana si ndio?
 
Kuta za nyumba zina mengi sana,ukiweza kuwa na watoto bila kuowa ni bora zaidi maana mwanamke ni mzuri akiwa barabarani,subiri aingie ndani ndiyo utajuwa hujuwi,utaandamana bila kutaka.
 
Kuliko kupata matatizo ya afya ya akili au kuishia kuuana bora ubadirishe hata mia. Wapo wengi sana kwa sababu
Utakwepa matatizo ya afya ya akili utayavaa matatizo ya afya ya mwili
 
Wamsikilize binti yao chochote atakachosema kina ukweli ndani yake.
Hapa umetoa jibu kama ulikuwepo kichwani kwangu.

Yaani kesi za mji wako zikaamuliwe ukweni. Wajinga kabisa na hawana adabu. Wasikilize mtoto wao.

Lakini jiandae utamuona akija, atarudi tu muda sio mrefu. Kwa jibu hilo ulilowapa.
 
Back
Top Bottom