Mrejesho wa kheri, nimempata wangu

Mungu muumbaji kwa kweli
442491.jpg
ahsante
 
Habari zenu wapendwa wa MMU,

Leo nimeona nijitokeze kwenu tena ila leo ni kwa ajili ya kuwaelezea furaha yangu na kuwapa moyo wale ambao bado wanaendelea kutafuta wenza na bado hawajawapata nawaambia watawapata wakati utakapofika.

Mimi nashukuru Mungu nimeshampata wa kwangu hapa hapa MMU maisha yanaendelea sasa ahsanteni sana wanajukwaa tuendelee kushirikiana tupeane moyo na kushauriana zaidi na zaidi.

Ahsanteni
But take care, these jf men wengi waongo am writing from experience

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunasubiri more mirejesho, na siku sura ikivimba ikashindwa kujaa kwa camera.
 
Kuna mwanaume humu nilimpata 2014 nikajua hapa sasa nimepata mtu wa ukweli niliekuwa namhitaji alichokuja kunifanyia mwaka huu ni Mungu tu ndo anajua.
Whenever you are you man God will pay you back for wasting my time

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuh!! Pole sana mama.

Naona mrejesho ni bora uje mkiwa tayari wanandoa maana anything can happen.
Ila wanaume wa humu mbona wanalalamikiwa sana!! Something is wrong aisee!!
 
Pole sana bibie ndo mzunguko wa maisha huo wala usichukie ukajipa doa sahau hilo angalia mengine tena bila kufananisha mabaya na mazuri yote yanatuhusu sisi wanadam.
 
Duuuuh!! Pole sana mama.

Naona mrejesho ni bora uje mkiwa tayari wanandoa maana anything can happen.
Ila wanaume wa humu mbona wanalalamikiwa sana!! Something is wrong aisee!!
Halafu hii kauli hii kwani wa humu wapoje na wengine wapoje?
 
Back
Top Bottom