Mrejesho wa dhambi na mema

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Kama leo hii utapewa nafasi ya upendeleo ya kupendekeza mambao ambayo unaona yawe dhambi au mema, ni mambo gani ambayo kwa sasa unayaona kama ni dhambi ambayo ungependekeza yaruhusiwe (kutenda/kusemwa) au ni mambo gani ambayo kwa sasa yameruhusiwa ungependekeza yawe dhambi? be serious
 
teh teh teh teh teh teh teh mambo ya serious unayaleta kwenye jukwaa la utani, ha ha ha ha ha ha ha ha
 
teh teh teh teh teh teh teh mambo ya serious unayaleta kwenye jukwaa la utani, ha ha ha ha ha ha ha ha

Hakuna ki2 utani duniani kaka kwani zamani mtu mwenye akili timamu kuokota makopo ilionekana ni kama utani kwani ilizoeleka kuwa hiyo ni kazi ya vichaa, lakini leo mitaani watu kibao tu wanaokota makopo ya chupa za maji
Pili kuendesha bajaji kwa mtu asekuwa na kilema chochote mwilini mwake ilionekana kuwa ni utani, lakini leo bajaji ni kila kona hadi vilema hawana chao tena

Mifano ni mingi sana kaka ila japo hiyo miwili ikutoshe. Mimi najua fika hakuna utani duniani bali kuna lack of seriousness, dat y nkataka muwe serious
 
Amri ilitoka kwa Muumba wetu...mapenzi yetu hayapaswi kupendekeza kilichoamriwa bali ni utekelezaji tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom