Mrejesho uzi wa kujilipua

Mrejesho uzi wa kujilipua

Lord-N

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2022
Posts
211
Reaction score
586
Uzi huu ulinipa chachu ya kuja Europe. Mwaka jana mwezi wa tisa niliingia rasmi Europe. Nimeshatimiza mwaka na ushee sasa.

Nimekuja kwa njia ya masomo na sina mpango wa ...... bongo kiukweli. Bongo nilikua na ajira ndio ila sikuona future yoyote. Biashara zangu pia ziliyumba, sikuona mwanga ila pia nilikuwa mdau wa uzi wa kujilipua nje ule kitambo sana. So nikaamua niufanyie kazi.

Hii ni ID yangu nyingne mpya ofcourse ya zamani naona imepigwa ban ya maisha. Ila fresh tu, muhimu pumzi

Cha msingi nachoweza sema, njia ya shule kama una documents zote muhimu basi ni njia nzuri sana maana visa unapewa fasta sana, na msingi ni kwamba documents zako ziendane tu.

Kwa Ulaya haina shida unapewa fasta, kwa US na Canada na Australia inabidi uwa convince vizuri ili wasione kama utaenda zamia; ila kwa Ulaya wala hawaangalii sana. Tena kama unajilipia ada ndiyo kabisaa.

Hakikisha proof yako ya financial ipo vizuri, kama una ndugu wa kukusaidia onyesha bank statements basi fanya hivyo etc. Maana hii ndiyo kigezo namba 1 cha kupewa au kunyimwa visa. Kama wataona ni nchecheme nchecheme. Kwamba usije ukaenda ukawa omba omba bure mitaani.

All in all, life huku ni zuri mnoo, hakuna uonevu wa kijinga, ubabaishaj na maudhi, husikii watu wameiba mapesaa serikalini wala husikii kelele za ki chawa.

Huku kila kitu utashangaa siku za kwanza, ni kuzuri mno. Nimezaliwa Dar nimekulia Dar, naweza sema Tandale ya huku kwa huko hata Masaki haioni ndani, sorry ni kuzuri kweli.

Mimi nasoma, napiga kazi za kunipa kahela pia ni artist so naingiza pesa kupitia njia hizi, maana watu wa huku wanathamini sana art.

Uzi tayari.
 
Kwann.visa za canada zinachukua mda mwingi kutoka hadi six months na kuendelea
Folen kaka... US na Canada foleni ni kubwa mnoooo... Processing inakuwa kazi sana ndio maana unakuta zinachelewa... Pia kupata apointment ni ishu sababu ya uwingi wa watu wanaofanya application kila kukicha... Pia kumbuka kuna baadhi ya nchi pia zinatumia balozi zetu zilizoko hapa bongo so foleni ndo inazidi kuwa kubwa.

Watu wa Kongo.. nadhani Burundi pia etc.. wanatumia balozi zilizopo bongo kwenda huko majuu so ishu ni foleni. Na pia hao jamaa US na canada huwa wanafatilia sana ndio maana unakuta zinachukua muda.
 
Benefits gani unazipata Kwa kuwa nchi hiyo ?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Pesa yao ina thamani sana.. hata ukifanya kaz ya kishenzi unaingiza mpunga mrefu kwa mwezi.. yaani kazi ya bongo ya kijinga kwa huku ni kazi unaingiza kipato kikubwa tu. Halafu ziko kibao... Ni wewe chaguo lako tu.. especialy za viwandani ndio kibao maana huku ni viwanda ving sana

Pili.. wanaathamini sana art... Mimi imekua rahis sana and na enjoy sabab i do art.. na ndio lilikua priority namba 1 sababu nilijua kwa bongo hawatokuja thamini art zaidi ya kukwambia kazi nzuri na bla bla.. but huku it gives you so much money.

Plus benefits zingine. Kama health insurance ya uhakika... Also I get to travel the whole europe sababu visa yangu inaruhusu so na enjoy na watoto wakali.

Plus i am international now . Swagg imeongezeka..
Na zingine siwezi elezea hapa
 
Pesa yao ina thaman sana.. hata ukifanya kaz ya kishenz unaingiza mpunga mref kwaa mwez.. yaan kaz ya bongo ya kijinga kwa huku ni kaz unaingiza kipato kikubwa tu. Halaf ziko kibao... Ni wew chaguo lako tu.. especialy za viwandan ndo kibao maana huku ni viwanda ving sana

Pili.. wanaathamin sana art... Mim imekua rahis sana and na enjoy sabab i do art.. na ndio lilikua priority namba 1 sabab nilijua kwa bongo hawatokuja thamin art zaid ya kukwambia kaz nzur na bla bla.. but huku it gives you so much money.

Plus benefits zingne. Kama health insurance ya uhakika... Also I get to travel the whole europe sabab visa yangu inaruhusu so na enjoy na watoto wakali.

Plus i am international now . Swagg imeongezeka..
Na zingne siwez elezea hapa
Sawa sasa mimi naomba kujua hapa Tanzania ulitoka ukiwa umesave tsh. Ngapi?(namaanisha budget ya nauli na saving nyingine) ilichukua muda gani tangu uanze process za visa?

Je unatuambia nini sisi ambao pia tunatarajia kujilipua soon mwaka ujao tuzingatie nini kabla na baada ya kufika huko nini kitu cha kwanza kuanza nacho ili upate kazi chap..?

Na sasa unamake how much kwa mwezi total income before and after tax.

Shukrani nasubiri muongozo!
 
Pesa yao ina thaman sana.. hata ukifanya kaz ya kishenz unaingiza mpunga mref kwaa mwez.. yaan kaz ya bongo ya kijinga kwa huku ni kaz unaingiza kipato kikubwa tu. Halaf ziko kibao... Ni wew chaguo lako tu.. especialy za viwandan ndo kibao maana huku ni viwanda ving sana

Pili.. wanaathamin sana art... Mim imekua rahis sana and na enjoy sabab i do art.. na ndio lilikua priority namba 1 sabab nilijua kwa bongo hawatokuja thamin art zaid ya kukwambia kaz nzur na bla bla.. but huku it gives you so much money.

Plus benefits zingne. Kama health insurance ya uhakika... Also I get to travel the whole europe sabab visa yangu inaruhusu so na enjoy na watoto wakali.

Plus i am international now . Swagg imeongezeka..
Na zingne siwez elezea hapa
Hongera tu, sasa bongo hautarudi kuoa je hauji kujipatia jiko huku? Sensa inasema wanawake ni wengi kuliko wanaume hivyo urudi kupunguza mmoja nimewaza kwa sauti
 
Hongera tu, sasa bongo hautarudi kuoa je hauji kujipatia jiko huku? Sensa inasema wanawake ni wengi kuliko wanaume hivyo urudi kupunguza mmoja nimewaza kwa sauti
Hahah.. kaka.. nmewaacha akina mwajuma ndala ndefu huko unataka nije kuwaoa tena. Hahah.. aisee.. huku naoa mzungu kaka.. lazima ukoo uwe na ma point 5 wa kutosha
 
Sawa sasa mm naomba kujua hapa Tanzania ulitoka ukiwa umesave tsh. Ngapi?,( namaanisha budget ya nauli na saving nyingine) ilichukua muda gani tangu uanze process za visa?

Je unatuambia nini sisi ambao pia tunatarajia kujiripua soon mwaka ujao tuzingatie nini kabla na baada ya kufika huko nini kitu cha kwanza kuanza nacho ili upate kazi chap..?

Na sasa unamake how much kwa mwezi total income before and after tax.

Shukrani nasubili muongozo!
Kiukweli nilitoka na mpunga mref sana.. I sold my car na lots of stuffs, biashara zangu zote niliuza. Inshort I was done na bongo... Nilitoka na mpunga mrefu.

Mim sababu nina elimu nzuri pia document zangu za kishule zimenyooka so ilikuwa rahisi sana kupata visa. Ilichukua week hivi..

Na pia bank statement nilizopresent zilikuwa zimeshiba mno.. Nilitumia yangu na ya my brother.. na hii ndo point namba moja kupewa visa.

Pia kozi yangu niliyochagua ya masters iliendana na bachelor yangu so hawakuwa na neno. Hata interview niliulizwa swal 1 tu kudadek.. why i choose their country.. mengine hakuniuliza sababu document zangu zilikuwa zimenyooka

About what i am making.. namake pesa nzuri tu kaka.... Hapa napokaa nalipa kodi kibongo bongo ni kama 1.2m hivi.. sasa you can imagine na nna mpango wa kuhama maana napaona padogo.
 
Sawa sasa mm naomba kujua hapa Tanzania ulitoka ukiwa umesave tsh. Ngapi?,( namaanisha budget ya nauli na saving nyingine) ilichukua muda gani tangu uanze process za visa?

Je unatuambia nini sisi ambao pia tunatarajia kujiripua soon mwaka ujao tuzingatie nini kabla na baada ya kufika huko nini kitu cha kwanza kuanza nacho ili upate kazi chap..?

Na sasa unamake how much kwa mwezi total income before and after tax.

Shukrani nasubili muongozo!
N about cha kuzingatia.. lazima uwe na mipango kwamba unakuja huku lengo kuu ni nini... Mimi sababu ni artist.. Lengo kuu ni kuja fanyia kazi zangu huku.. na huku art ina thaman. Pili naongeza elimu hii inasaidia pia for your stay here na tittle...

Kazi zipo bwena kaka... Ni wewe tu... Mimi zingine nafanya kuchagua... Tena hizo za kubeba box ndo kibao... Watu wanafanya na maisha yanaenda.. Ila mimi nafanya 80% art.. 20% kazi za kiwandani.. na life fresh tuu..
 
Sasa huku nani ataoa? Wapo kina Rozi, Jenifer, Annette, pia nawewe una dada zako huku!
Hahahahha... Ni kweli kaka... Ila malengo muhimu.. mimi lengo langu mojawapo ni kuoa mzungu kaka. Siwezi ishi huku halafu nije oa huko kina ndala ndefu... Wapenda pesa hahaha... Huku mademu hawaangalii sana pesa. Huku middle income ni 90% ya population.

Hakuna masikini huku. Huko bongo. Matajiri 1%.. middle income ni 5 halafu inayobaki 94% ni tia maji tia maji. Maendeleo mtayaskia kwenye bomba... Na hivi wanapeana vyeo kifamilia na uchawa hahah. Miaka 800
 
Tushazeeka sasa,
Wacha tukomae hapa hapa.
Komaa kaka... Hiyo nchi uchawa unalipa.. sis wengne tulishindwa hilo ndo maana tukasepa. Haiwezekani tokea darasa la kwanza naongoza class tumefika hadi mavyuo vikuu halafu machawa ndio wanatukimbiza. Ukisifia tu unapewa shavu. Sie wengine hayo maisha tumeyashindwa. Hahaha... Tumewaachia wanaoyaweza wenye nchi yao.
 
Back
Top Bottom