Mrejesho Treni Dar-Moshi

mputa

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
1,192
1,491
Wale ma superstar ambao kila kukicha mumekua na tabia ya kuishambulia hii treni, eti watu wa kaskazini hawatapanda, napenda kuwataarifu kua treni inajaa kila siku, na imeongeza idadi ya safari kwa wiki kutokana na demand kua juu, naomba msiwe mnapinga juhudi za serikali inapowaletea wananchi wake maendeleo, eti wach...ga hawatapanda treni, fyuuu zenu
 
Kwan hyo treni na hyo Route ni mpya au, Ilikua chini ya Serikali na ikafa swali ni nani waliyoiua? Kwahyo sijaona kipya kwa kuifufua maana ilikwepo kabla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale ma superstar ambao kila kukicha mumekua na tabia ya kuishambulia hii treni, eti watu wa kaskazini hawatapanda, napenda kuwataarifu kua treni inajaa kila siku, na imeongeza idadi ya safari kwa wiki kutokana na demand kua juu, naomba msiwe mnapinga juhudi za serikali inapowaletea wananchi wake maendeleo, eti wach...ga hawatapanda treni, fyuuu zenu
Hata mi nawashangaa.
Eti mtu anaishi katavi alafu anasema hiyo treni hapandi mtu.
Dua la kuku halimpati mwewe ni kuliwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona huu uzi ni wa kuchambana na kusutana sema tu umekosa matarumbeta
 
Kumbe mabehewa karibia yote ya daraja la pili na la kwanza yameondolewa Kigoma route kwenda Moshi.
Tatizo ndugu zangu Waha wanapanda na mahindi ya kuchemsha na akina Mangi wanapiga vyombo mwanzo, mwisho. Beer zinaisha mapema .
TRC lazima watoe gawio nono mwakani.
 
Hivi wacha**ga ni akina nani hati wasipande treni? Mxieuuu#%%&&
Polepole alipopiga picha na hii treni iliwaudhi watu, alifanya as if ni jmbo la chama lakini ni la nchi.
Watu wanapanda kwakuw wachagga wameendelea hapa Tanzania kulikomkabila lolote na hawana chuki za kisiasa, wao ni pesa tu
 
Wale ma superstar ambao kila kukicha mumekua na tabia ya kuishambulia hii treni, eti watu wa kaskazini hawatapanda, napenda kuwataarifu kua treni inajaa kila siku, na imeongeza idadi ya safari kwa wiki kutokana na demand kua juu, naomba msiwe mnapinga juhudi za serikali inapowaletea wananchi wake maendeleo, eti wach...ga hawatapanda treni, fyuuu zenu
Aisee ...kupanda treni ni maendeleo acheni uzuzu basi.
Mnakera sana nyie watu yaani leo mnakuwa washamba mpka mnakera.

Hivi ni vyombo vya usafiri kama vingine na vilikuwepo kabla,sasa leo mnakuja na ngonjera nyingi eti maendeleo punguzeni ulimbukeni.
 
Wasukuma hao, wanaamini kupanda treni ni maendeleo wakati ilikuwapo tangu enzi hizo wapo huko misungwi bila nguo
 
U
Aisee ...kupanda treni ni maendeleo acheni uzuzu basi.
Mnakera sana nyie watu yaani leo mnakuwa washamba mpka mnakera.

Hivi ni vyombo vya usafiri kama vingine na vilikuwepo kabla,sasa leo mnakuja na ngonjera nyingi eti maendeleo punguzeni ulimbukeni.
Uelewa wako ni mdogo, nataka nikusaidie kidogo, serikali inapofufua miundombinu iliyokufa lengo ni nini ? Lengo ni kurahisisha mf usafiri wa abiria, mizigo, biashara, nini maana yake, ni kuimarisha huduma za kimawasiliano na biashara, huko ni kuimarisha sekta za uchumi. YAANI MAENDELEO, nimeona nikusaidie maana hata principles za uchumi hujui
 
Back
Top Bottom