Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,649
babu DC ulitakiwa wewe ndio uwepo kwenye hiko kikao,hii ndiyo busara!
Mkuu JembePoli,tumia kichwa kufikiri,hizo habari za kufuata 'moyo' wako achana nazo kabisa!
Maadamu wanakupenda na wanapendana wao wenyewe,kuwa nao wote!
Huko kuchagua ulikofanya kutakugharimu siku moja,na hiyo ni LAZIMA!
Nani aliesema ni lazima kuoa mmoja?
TAFAKARI
Uko sawa kabisa mkuu. Ningekuwepo ningemwomba anipe wote nimtunzie. Nawapenda sana wajukuu zangu!!!
cc: KOKUTONA.
Last edited by a moderator: