Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,466
- 11,641
napajua pale wasichana wapo wengi na 90% yao ni single mothers
Mmh ila hao wadada na wenyewe wana mioyo migumu. Yani mjuane kuwa mnadate mtu mmoja afu still mnashikamana hadi siku bwana atakapoamchagua mmoja kati yenu. Yani niendelee kugugumia tu hadi mtu atakapoamua mmh!!
Mkuu wakati unawatongoza kila mmoja kwa wakati wake uliwaitia kikao kama ulivyofanya??ninaandika hii sms huku machoz yanatoka yenyewe.nimejaribu kukuvaa kiatu cha huyo dada wa kwanza.yani ni bora ungemfanyia visa akajiengua mwenyewe kuliko hvyo ulivyofanya.mkuu I SWEAR UTAJUTA!!na utamtamani yule wa kwanza lkni utakuwa umeshachelewa
Ila nakuomba uwe karibu pia kwa msaada wowote ule (kama alikuwa anakutegemea) kwa yule mpenzi wako wa kwanza.
Dear muombe Mungu sana to deliver you from any tears will come out of her not to harm you . Repent dear . I do understanding that you didn't feel the same as she felt and that's why you cheated on her . My question is why you took so long to tell her about the incident? And why you called her in front of everyone else to denied her? While since you knew sio chaguo lako ungeongea nae private mkamalizana huko . But not the way you did . Do you know how she feels now? She will have a spirit of denial unless if she will fast and pray so God can intervene for her. Natamani nimfahamu huyu Dada kwa kweli so I could help her honestly. She really needs someone who can help her to heal before hajaingia kwa another relationship.. otherwise it will cost her even in the next relationship because all she will think all men are the same while its not. She will lose the meaning, taste and feeling in what a really love all about . Duuh please fast and pray for her please I beg you . So that spirit of denial can never follow her and God shall locate her husband to be . Thanks.
Wadada bwana. 3yrs we unadate tu na mtu unategemea nini..he'll dump you of course. Hata ingekuwa mini, mahusiano yakizidi 2yrs bila bila nakuacha. Japo umemdhalilisha sana Dada wa watu. Usingefanya hivyo.
Sitaki kuamini kama hiki ni kisa cha kweli. Yaani wazee washiriki upumbavu huu. Kuamua mtu wa kuoa siyo event ya siku moja...
Umesema vema.
Kwanini asimwambie yule asiyemtaka akae pembeni. Na kutangaza ndoa kwa anayemtaka kiustaarabu? Kuita wazee wakuchagulie mahawara ni utamaduni wa wapi? Hapa naona kama Shigongo at his best. Peleka ikachapishwe gazeti la amani
hongera mkuu ila ulikosea kupiga magoti na kulia mbele ya mpenzi wako tena mbele ya kadamnasi , unatofautiana nini na mizengo pinda?
Babu yangu mie alikuwa na wake 4. Ningekuwa mimi ningebeba wote au naanza upya.
Vinginevyo sioni ndoa hapa!
Aisee ni uamuzi mzuri lakini dunia ya leo kuishi na wake wawili bila ndoa ni kutafuta presha.
Ndoa itakuwepo tu mkuu ni maamuzi tu
Babu yangu mie alikuwa na wake 4. Ningekuwa mimi ningebeba wote au naanza upya.
Vinginevyo sioni ndoa hapa!