JembePoli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,324
- 999
- Thread starter
- #21
Duuh after 3 good years she shared with you and this how you paid her back . Remember she refused to have other men because she believed you were the one . How can you do that to her ? She must be broken now even though you said she forgave you . Dear you had a chance to talk to her private soon after you knew where your heart was . I have really learn something here ( That don't date a man for too long ). Dear just remember what goes around always comes around . Thanks .
Ni kweli inaumiza na hasa kwa kumbukumbu/watu waliomtaka kipindi yupo na mimi na kuwakataa sababu yangu.
Natamani kuongea nae chemba kama unavyoshauri lakini sio kwa sasa kumbuka hata mimi pia naumia hajawahi kunikosea hofu yangu naweza kuyumbisha uamuzi wangu na kujikuta tena kwenye mahusiano.
Pole na nisamehe pia kwa kumuudhi mwanamke mwenzio.
Pia sio wote wenye uhusiano mrefu huwa wako kama situation yanguk