Mrejesho:Staki kuendelea nae ila ananiganda

Mrejesho:Staki kuendelea nae ila ananiganda

Ila mkuu ulitaka tu joto la mimba ya watu au ilikuaje? msaidie dada wa watu kulea mimba bwana Mungu atakulipa akijifungua
 
Mmh pagumu hapo mkuu,chamuhimu hapo ni kumpotezea as longest umeamua kumuacha we achananae tu, hayo maneno huwa nayaona hata kwenye khanga.over
Thnx mkuu japo me nayaona ni makali sn coz cjawahi kuambiwa hivyo
 
Sasa ulikuwa unahitaji ushuri upi?wewe ulishapanga kuachana nae,muache tu
Sawa mkuu,Sema nimejikuta napanic coz maneno makali sn haijawahi kunitokea.
 
Aisee...sasa alitegemea utampenda kwa dhati katika hali yake hiyo?
Ila na wewe unatafuta matatizo.
Hatari mkuu,hilo swali nimemuuliza pia,akanijibu kwann nilimgegeda kama nilikuwa nalijua hilo?
 
Habari wana bodi,


Kwa Mara nyingine tena nimerudi,baada ya kumtamkia kuwa sihitaji kuendelea nae,hatimae alichonijibu ni hiki;


Sawa haina shida. maana umekipata ulichokitaka. coz kabla yakuamua kuanza mahusiano na mimi hukujua kama nina ujauzto na huu ujauzito ni wa mtu. sasa kwanin ulitaka mahusiano na mimi?ingali unajua kama mimi ni mjamzito.ama ulizani ungemtunza huyu mtoto na mimi nikaachana na muhusika. sasa sina lakusema lakn Mungu hulipiza hapahapa dunian kama uliona raha ku lala na mtu asiye na ujauzito wako then u mtest mwisho wa siku umuache. basi kaa ukijua malipo ni hapa hapa duniani.umenifanyia leo mim kesho atafanyiwa dada ako au mtoto wako. nakutakia maisha mema. ila kamwe moyo wangu hautaacha kuwa na kinyongo nawe.

USHAURI WENU PLEASE.
Karma is bitch mzee..... U did very wrong brother... Mwombe msamaha
 
Ila mkuu ulitaka tu joto la mimba ya watu au ilikuaje? msaidie dada wa watu kulea mimba bwana Mungu atakulipa akijifungua
Mwenyewe yupo na anahudumia vzr tu ila dem anadai jams sio romantic
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom