Aaahhh sasa nimekuelewa !!!.
Achana naye for the betterment of both parties ,, huyo hana akili .
Bora uwe na mwanamke alokwisha zaaa kuliko kua na mwanamke mwenye mimba ,,,,MTU mzima unakua unahesabu ,,wakwanza...wapili..,.watatuuu,,wanne ..watanoo. Wasitaaa...wasaba...wanaeee....Hapa mchezo unanyimwa ...unaendeleaa Watisaaa. .....anazaaaa. Unahesabu miezi kama mitano mbele ndo uanze kula mzigo hahahahahhah.
Niwanaume wanaokunywa Supu ya pilipili chungu nasumu ya Nyoka ndo wenye hizo Roho za * Heriiiiiiiiiiiiii wenye mioyoooooooo safiiiiiiiiiii ,,maaaaaaaaana haoooooooooo ndoooo watamwonaaaaaa .... ....*...Mbinguni hatuendiiiii kwa cheo cha uchungajiiiiii......Bali wenye *Moyo safi watakwendaaaaaaa*