Mrejesho:Staki kuendelea nae ila ananiganda

Mrejesho:Staki kuendelea nae ila ananiganda

Kifupi unamhusudu. Unashindwaje kumkatia line kama upo serious na dhamira yako?
Jipime vyema lakini inaonesha moyo wako unampenda. Nadhani hicho kitu ndiyo kinakusumbua na kujifanya kama vile unamkwepa, eti yeye ndiye anayekazia penzi!
Binadamu tunakosea sana kuficha upendo wetu kwa washirika wetu.
Wewe umetuchanganyia vitu viwili kwa pamoja, penzi na kulea mimba.
Mimi nasema hivii? Kinachounganisha watu ni mapenzi, basi. Mambo ya mimba ya mtu sijui nini na nini, hizo ni blahnblah, watu wanalea watoto wa wanaume wenzao kwa ku-fall in love, sembuse mimba!
Nimekusomaa mkuu
 
Usiombe tuachane wakati nakupebda nikitia maji tu jiandae kutumiwa lyrics na nyimbo za mapenzi siku hiyo.
Me mwenyewe hiyo ndio njia yangu kuu yakupita pindi nikitaka kulirudisha penz langu linaloelekea kuyeyuka.Pia aina za wanawake ambao huwa ninadumu nao kwa muda mrefu ni kama ww, hata kama umenikosea sana ukinibembeleza kwa nyimbo na maneno huwa naingiwa na huruma na hasira kuisha.

Sio hawa wanaojipa cheo cha wazazi kutoa laana zao za hovyo hovyo.

Kweli tumezaliwa mwezi mmoja.
 
So,ulitaka kumchezea tu dada wa watu. My dear karma is a boss fckng b!tch..wait for yours in anyway.
Wala sikuwa na nia yakutaka kumchezea,nilimpenda ila kilichonifanya nimuache ni baada yakujua kuwa mwenye mimba anahudumia kama kawa,suala hilo hakuniambia kabla yeye alisema Jamaa hana caring yoyote
 
Wala sikuwa na nia yakutaka kumchezea,nilimpenda ila kilichonifanya nimuache ni baada yakujua kuwa mwenye mimba anahudumia kama kawa,suala hilo hakuniambia kabla yeye alisema Jamaa hana caring yoyote
Makubwa...
 
kizamani kumuacha dem hivyo!ilitakiwa umpotezee kistyle ili mwisho wa siku unaweza kurudi kutoa nyuro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom