Mrejesho:Staki kuendelea nae ila ananiganda

Mrejesho:Staki kuendelea nae ila ananiganda

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
4,744
Reaction score
3,544
Habari wana bodi,


Kwa Mara nyingine tena nimerudi,baada ya kumtamkia kuwa sihitaji kuendelea nae,hatimae alichonijibu ni hiki;


Sawa haina shida. maana umekipata ulichokitaka. coz kabla yakuamua kuanza mahusiano na mimi hukujua kama nina ujauzto na huu ujauzito ni wa mtu. sasa kwanin ulitaka mahusiano na mimi?ingali unajua kama mimi ni mjamzito.ama ulizani ungemtunza huyu mtoto na mimi nikaachana na muhusika. sasa sina lakusema lakn Mungu hulipiza hapahapa dunian kama uliona raha ku lala na mtu asiye na ujauzito wako then u mtest mwisho wa siku umuache. basi kaa ukijua malipo ni hapa hapa duniani.umenifanyia leo mim kesho atafanyiwa dada ako au mtoto wako. nakutakia maisha mema. ila kamwe moyo wangu hautaacha kuwa na kinyongo nawe.

USHAURI WENU PLEASE.
 
Kwani alivyokupa nyapu umgegede hakujua ana mimba!?

Sema kaongea maneno mazito mazito!! Huyo ungemuacha taratibu taratibu!!!
 
Mmh pagumu hapo mkuu,chamuhimu hapo ni kumpotezea as longest umeamua kumuacha we achananae tu, hayo maneno huwa nayaona hata kwenye khanga.over
 
Kwani alivyokupa nyapu umgegede hakujua ana mimba!?

Sema kaongea maneno mazito mazito!! Huyo ungemuacha taratibu taratibu!!!
Mkuu nilijua kuwa anamimba ila tamaa na stress za gal nilienae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom