MREJESHO: Simuelewi mume wangu

Poleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana.

Mrejesho upo hivi; baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri kama mwanzo.

Kiukweli bado sijaridhika na hili jibu, naona kama ni usanii vile. Hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake? Naona tu kama mapicha picha bado yanaendelea.

Naombeni mnisaidie, vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake?
Unalala umejaradia unategemea huo mzuka wa kukuzagamua na kukupelekea moto atautoa wapi

Ukiwa nae ndani tembea uchi mwanzo mwisho alafu subiri kinachofuata namaanisha tembea uchi tena uwe unajipanuapanua, utatuletea mrejesho
 
Ni kweli usemayo lakini naongelea hata kabla sijaolewa. Sijawahi kustruggle kutafuta wa kunioa...

Siwezi kusema mengi hapa lakini najua kabisa nikiachika leo na umri huu nikitaka kuolewa tena nitaolewa, na mtu mpya kabisa ambae nitakutana nae baada yakuachika.

Kupata mume ni vile unavyojiweka.
Nikiachana na mwanamke nikimuona anapendeza namtamani tena.
 
Unalala umejaradia unategemea huo mzuka wa kukuzagamua na kukupelekea moto atautoa wapi

Ukiwa nae ndani tembea uchi mwanzo mwisho alafu subiri kinachofuata namaanisha tembea uchi tena uwe unajipanuapanua, utatuletea mrejesho
Inaweza kuwa dawa....
 
Unalala umejaradia unategemea huo mzuka wa kukuzagamua na kukupelekea moto atautoa wapi

Ukiwa nae ndani tembea uchi mwanzo mwisho alafu subiri kinachofuata namaanisha tembea uchi tena uwe unajipanuapanua, utatuletea mrejesho
Mkuu huu ni zaidi ya ushauri, mle mada chukua huu ushauri wa kwenye kitchen party ndivyo mnavyoelekezwa hivi ila mna vichwa vigumu kuelewa

Ukiwa ndani muonyeshe mumeo chakula chake kilivyo ili umpe appetite ya kukupelekea moto sio unajifunikafunika tu
 
Am not beautiful kawaida tu.
Lakini muonekano wangu na ongea yangu utaka tu kuniweka ndani🤣🤣, sasa utakayakuta huko baada ya kunioa mi sijui..

Nijisifie tu mimi ni wife material najijua, hata mkibisha shauri lenu..
Ila ni chizi flani hivi😅😅😅
Hahahah una tuvitu flani hivi ambavyo wahuni tunapendaga😂!
Sifa kuu ya wife material haboi.
 
🤣🤣🤣🤣
Sasa uzuri ni kwamba mzabzab anaeleweka tabia zake kaziweka wazi kabisa, ukikubali means umemkubali kama alivyo.
Tatizo linakuja pale ambapo unategemea upate alie tulia kama The Monk unaolewa unakutana na copy ya mzabzab.

Utajua hujui.

Mie sijatulia ila ni hazibandi material.
Ukitaka univuruge niletee visingizio kwenye hii tasnia pendwa ( hata kama tuna ugomvi au tofauti flani, ikifika hicho kipindi ziweke pembeni, tutendeane haki ndio tupinge upya bifu). Na nilishaweka dhahiri Bayana pasi shaka kwamba siku akiona naumwa, au nna stress kiasi Cha kushindwa kabisa burudani pendwa, aanze kuulizia password za ATM, mirathi na wosia, kuandaa maturubai na kutoa taarifa Kwa ndugu kwamba Kuna jambo Zito linaikumba familia.

Yaani niwe na stress kiasi Cha kushindwa kabisaaaa? Hiyo haipo na sijui kama itakuja kutokea.
 
Na kweli ngoja tu nichepuke maana hamna namna majibu yake yenyewe ya kisanii Kuna wakati nawaza labda kalogwa
Fuata ushauri wa The Boss hapo juu post namba 7.Kuna vitu huwa wanaume tunaona aibu kuwaambia wanawake direct ambavyo kiujumla huwa vina kera sana,hata kusababisha hamu inakatika kabisa,harufu ya jasho mwilini,harufu kali ya maeneo,harufu ya kinywa,unene uliopitiliza mpaka umepoteza mvuto n.k.Kaa ongea naye vizuri ujuwe shida ni nini.Pia yawezekana alikuwa na mchepuko kamchezea akili na yeye anafikiri tu kapoteza hamu kumbe kafungwa kimazingara asiwe na hamu na wewe...,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom