Mrejesho: Safari ya mateso katika mahusiano yangu

Mrejesho: Safari ya mateso katika mahusiano yangu

pole kaka na hongera kwa kuwa na moyo mgumu,vp lkn Angel bado yupo moyoni?
 
Iv sijui waga inakuaje wa hivo akikukataa unapata pini zaida yake mpk anashangaa.
 
Poleni sana Bro Lkn relationship inakuwa ngumu sometimes that's y I decided To do away with it am now going To be a Catholic priest

my dear Frater hatuingii seminari ili kukimbia mahusiano bali tunafuata sauti ya Mungu. Clear ur intentions and may the intercessions of St. Aloysius Gonzaga lead u in ur way!
 
Konrad.. Nakubaliana na Wewe ila Mungu hajatuleta kubahatisha Maisha.. Kuna aliowaleta na kuwaita kama walimu, Wahubiri, Marubani, Madaktari n.k..wapo walioletwa na Purpose zinazo fanana n.k Kila MTU aliyeletwa Duniani. Mungu amemleta kwa kusudi lake. So U HV to find out Umeletwa kwa kusudi Gani? forinstance.. A Priest or A Doctor? Hujachelewa Find Out.

Wise person nimesoma yote uliyoandika naamini kuna mambo mengi tunafanana. Nimejihisi kukuona ila hongera sana! Very few people can have the courage u hav!
 
This time ume-act kiume.Umechukua maamuzi na umeyasimamia.Na unaona amekuheshimu na amejifunza.


Je,bado anaendelea na Tobbi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom