Mrejesho safari ya India

Mrejesho safari ya India

Pole sana, Mungu awatie nguvu, msisitize mgonjwa na huyo donor aliyetoa figo yake wawe makini na vyakula walavyo, nawashauri waepuke vyakula jamii ya nyama (zote) na pia aepuka artificial drinks na pombe kama anakunywa aache..
 
So touching. Kwenye masuala ya magonjwa au kuugua, Jf imekuwa ni the best jovial family kwenye kupeana msaada wa hali na mali.

Poleni mkuu, na pia Mwenyezi Mungu amtangulie mgonjwa na kuendelea kuimarisha afya yake.

Zangu dua.

-Kaveli-
Kweli mkuuu notec
 
Pole sana, Mungu awatie nguvu, msisitize mgonjwa na huyo donor aliyetoa figo yake wawe makini na vyakula walavyo, nawashauri waepuke vyakula jamii ya nyama (zote) na pia aepuka artificial drinks na pombe kama anakunywa aache..


Ujumbe murua sana huu. Ubarikiwe Kiongozi.

Hakika junk foods, junk drinks, na red meat... ni vitu hatarishi sana kwa afya ya mwanadamu.

Hivyo vitu ni vya kuepuka sana kwenye maisha yetu ya kila siku.

Let's maximize kwenye vyakula vya asili, mbonga za majani, matunda, na kunywa maji natural safi na salama.

Hao ndugu zetu sasa they should embark on healthy lifestyle.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom