Mrejesho: Nipo njia panda

10 years? Too long, hata kwaka mmoja hapiti inakuwaga jeuri tu huu mda kampata jamaa na wanawake wanaakiri za kuonyesha kipya ni bora zaidi.

Tatizo huyo Ex wa demu(first boyfriend) yeye mwenyewe kamrudia huyo demu wake kama mchepuko tu. Sasa demu kishatowa jeuri kwa jamaa baadae demu ataleta story yake humu tu. Kwa hisia zangu inaonekana huyo demu yumo humu Jamiiforum ndio maana alikuwa anaongea na confidence ya kumfanya jamaa mchepuko wake.
 
Pole sana mkuu. Nakushar achana nae muombe Mungu atakupa Mke Mwema
 
Huyo dada ana guts za ajabu, eti uwe mchepuko?

Ina maana kila X wake anaweza kuwa yuko kwenye list ya michepuko, mtakuwa wangapi?
Evelyn Salt huku kuna mrejesho mwingine.

Mrejesho wangu coming soon
 
Last edited by a moderator:

Hatari sana!
 
Achana nae mpotezee tu komaa na kazi upate hela maisha yaende!
 
Move on boy ....achana naye..tafuta mwingne uzuri ni kwamba wapo wengii tu me mwanzoni sikuhamin kama nitakuja mpata mwingne kama yule but leo hii nimempata zaid ake na wala sina shaka kwenye hilo


Ahsante mkuu,pia shukrani kwa ushauri wako
 
Nimeskia hasira ila ndo hivyo tena. Hivi wasichana tuna matatizo gani? Kwa nn kabla hujawa na no less usivunje mahusiano ya nyuma? Kwa nn?

Jamani mahusiano nayapenda ila sijawahi muumiza mtu.kiasi hiki,? Mwaka na nusu? Tuwe na huruma sometimes.




Shukrani sana dadang,
 


shukrani sana kwa ushauri wako mkuu
 






Ahsante sana,pia shukrani sana kwa ushauri wako uliotukuka mkuu...Mungu akubariki sana
 
NB: usiishi ukitarajia kuwa Mungu atamlipizia au kumuombea Mabaya kwenye huo uhusiano wake maana inaweza isitokee hivyo. Shukuru Mungu kakuepusha na balaa maana humo hamna mke.

I wish kila mtu angeelewa ulichokiongea. Many times tunatamani kweli wale wote waliotukosea Mungu awaadhibu, awafedheheshe ndo roho zetu zitulie. So unakuta mtu kaumizwa, instead of kujikung'uta ma vumbi asonge mbele, yupo busy kumuombea adui yake mabaya. Kwa hiyo hutoendelea, utabaki na sononeko tu, una uchungu mwenyewe. Afu adui yako anavyofanikiwa ndo unazidi kufa ndani kwa ndani. Hakuna kitu kizuri kama kumuombea mema adui yako. Afu sometimes kuna Vitu tusingejifunza kama tusingetendwa. Tushukuru hata kwa maumivu coz lazima kuna kitu positive tunajifunza
 


Pole sana kwa yalo kutokea mkuu,naamin nawe ulipitia kipind kigumu sana.pia shukran sana kwa ushauri wako
 




Ahsante mkuu,pia shukrani sana kwa ushauri wako
 



Ahsante sana..pia shukrani kwa ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…