Mrejesho....nimwambie mjomba wake?

Mrejesho....nimwambie mjomba wake?

Mada yako ya kwanza uliandika ndoa yako ina miezi nimebaki kukushangaa,Ndoa ni uvumilivu kama tatizo dogo kama hili unachanganyikiwa kubwa utaweza kweli.kuhusu huyo binti jalibu kuongea na wazazi wake wamuelekeze utaratibu ambao wew unataka afate.
 
Mjomba ananingia chumbani kwa binti yake anakuta mipedi na michupi kitandani haoni soni...anandai ni kama mwanae.huyo ni binti mtu mzima
Unajua hata baba mzazi kuna au kusogelea hivo vitu vya sirini vya binti yake ni mwiko.
We mwaya yakikushinda mwachie nyumba yake na mwanae wa miaka 25 ambae bado anafundishwa.
Kama hilo la kawaida basi hata kufanya mapenzi kwao utakuta sio kitu cha ajabu.utakufa kwa ugonjwa wa moyo bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada hayupo serious Aggyjay natamani mimi niwe yeye tuone huyo binti anifanyie fyoko.
 
Natumai mko wazima wote
Siku kadhaa zilizopita nilileta thread ya mtoto wa wifi angu kuingia chumbani kwangu na kua na madaraka..

Wengi walinishaur niitishe kikao ,,nilifanya hivyo nikamwambia mjomba wake na bint akiwepo
Mjomba wake akaniambia huyu Ni bint mdogo nakushaur uwe unamwelekeza taratibu nikamwambia nimeshakaa nikaongea nae naona haelew akadai usichoke kumwelewesha
Ajabu hata mwanae hakumwambia/ hata akumkanya basi nikanyamaza tu

Kilichonishangaza leo
asubuh bint kaenda kanisan,, Kuna kitu mme wangu alikua anatafuta alivyokosa nikamwambia subir labda kipo chumba Cha bint ngoja nikakutafutie maana kabla bint ajaja tulikua tunakutumia icho chumba labda katika kuhamisha tulikisahau
Mume akasema acha niende nikaangalie mwenyewe...nikamwambia utaingiaje chumba Cha mtoto wa kike mi nipo?
Akaingia akatafuta kakuta Kuna chupi kitandan zingine, zimeanikwa hapo...bint naona yupo kwenye siku zake maana Kuna pedi pale kitandan lkn haijatumika
nikamwambia umefurahi Sasa ulivyoona??? Ajabu ananilaum Mimi ninamawazo negative yule Ni Kama mwanae so haoni ajabu kuingia chumbani kwake Wala bint kuingia chumbani kwetu
Nimechoka mwili na roho
huyu Ni ndugu yake kweli maana nilienda ukweni nilimkuta
Nilichogundua inawezekana kwao ndio tabia yao hawana privacy au nikawaida yao
Kama Kuna wasukum hum watanisaidia inawezekana kwao Ni kitu Cha kawaida ivyo wananiona mimi ndio ninamatatizo ...jumapil njema jamani hata mood yakwenda kanisan imeisha
Msukuma wa wapi huyo maana sisi huku usukumani hivi vitu hivi havipo kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwe mwanamke mjinga dadangu. Pamoja na kuolewa kwanini hujitambui?

Kwanini uache ndoa yako kisa dada wa kazi?
Hata kama ni ndugu wa mume, muwekee masharti ya kutokuingia chumbani kwako.

Ikishindikana mtimue. Utamuachaje mumeo kirahisi rahisi hivyo?
Usikubali kuachika kizembe. Utarudi kwenu kuleta matatizo tu na kuwapa misemo watu baki tu. Unakwenda kuitwa jina gani mtaani?

Fikiri mara 3 kabla ya maamuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ni vile wewe umechagua na sio vile watu watakavyosema.....wakisema na kumbatiza majina wanampunguzia lifetime yake????? Cha muhimu yeye tu achunguze iyo lifestyle apate undani wake ndo atachukua maamuzi
 
acha kuandika bila uthibitisho wewe kanda ya ziwa hasa wasukuma hawana hiyo tabia mm nimekaa huko mda mrefu.

Inategemea na malezi ya familia, tabia ya mtu siku izi kabila halina nafasi......ukweni kwangu nimeona kina kaka wanaingia chumba cha binti bila ata kubisha hodi na akimkuta uchi utaskia eti "lione hili" na hajui kama amemkosea mdogo wake....maisha yanaenda kawaida kabisa
 
Mjomba ananingia chumbani kwa binti yake anakuta mipedi na michupi kitandani haoni soni...anandai ni kama mwanae.huyo ni binti mtu mzima
Unajua hata baba mzazi kuna au kusogelea hivo vitu vya sirini vya binti yake ni mwiko.
We mwaya yakikushinda mwachie nyumba yake na mwanae wa miaka 25 ambae bado anafundishwa.
Kama hilo la kawaida basi hata kufanya mapenzi kwao utakuta sio kitu cha ajabu.utakufa kwa ugonjwa wa moyo bure

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wanaume ni wasen*ge na ukute uyo wake ni mmoja wao, kama kweli ni mtoto wa dada na soni haoni eti ni kama mwanae labda anamkula sio bure,
 
Unatakiwa uwe na akili za ziada za kunchunguza
Mwanaume hata kama sio mwanawe n mtoto wa nduguye hatuna utaratibu au utamaduni wa wanaume kuingia vyumba vya mabinti hata siku moja hua tunaingia sisi mama na sio baba
Amekosea hakupaswa kuingia huko na chunguza mwenyewe yawezekana sie mwanae ni mke mwenzio umeletewa bila we kujijua hata kama umemkuta ukweni lakini jua uwezekano wa kua mke mwenzio ni mkubwa
halafu mapenzi ya kuibia tena sehemu zisizo rasmi ni matamu sana sijui kwann,,mtu unaeza mshikisha ukuta afu kasogeza kichupi tyu ukaingiza,ila raha yake haifikii aliyekodi self contained hotel room
 
Wamenishangaza kwa kweli...siku ataingia huko amkute yupo uchi kalala ndo hapo anapopatia mke mdogo

Hiyo sio sawa kabisa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Na labda walishaanza kulana kabla bidada ajaolewa, binti miaka 25 hata hawajaozeana na mkazamjomba wake lakini ndo ivo azoee bedroom ya Anko na mkewe bila sababu!!????!! Mimi kwangu ni full adabu ata wifi haingii kwangu bila idhini. Iwe labda nimemtuma au nimemuita mwenyewe
 
Duh
halafu mapenzi ya kuibia tena sehemu zisizo rasmi ni matamu sana sijui kwann,,mtu unaeza mshikisha ukuta afu kasogeza kichupi tyu ukaingiza,ila raha yake haifikii aliyekodi self contained hotel room
 
Huyu mkazamjomba nae ni dhaifu...anandharauliwa sana na huyo binti...nikipata picha wanavopishana kwenye korido la nyumba dah!

Unaingia chumbani kwa mume na mke unapekuapekua unatafuta nini?
Kama una shida na kitu..mfano labda kitana si umwambie mwenyewe aamue uende au akutolee..ye anampuuza tu kama roboti anaingia.
Huyu binti amfukuze tu arudi kwao akafunzwe tabia za kuishi na watu.si bure hata nae akiolewa ntakua anaingiza mashosti chumbani anapiga nao story..
Na labda walishaanza kulana kabla bidada ajaolewa, binti miaka 25 hata hawajaozeana na mkazamjomba wake lakini ndo ivo azoee bedroom ya Anko na mkewe bila sababu!!????!! Mimi kwangu ni full adabu ata wifi haingii kwangu bila idhini. Iwe labda nimemtuma au nimemuita mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda takua tofauti na wachangiaji wengine

Uhalisia unanambia hupendi ndugu wa mumeo

Na hiki ndio kinachangia uone maovu tu ya huyo binti

Naamini huyo binti hukufulia, hukupikia, hukusafishia nyumba ila ajabu huoni hayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom