Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,952
- 10,593
Au mkazamjomba ndo mwenye shida¿¿¿??? Hii imenikumbusha nliwai kuishi na Anko akaoa binti mjingaaaa yaan mjinga alikuwa hata kuoga mi ndo namfokea kaoge mjomba akija mtalalaje humo unavonuka ivo??? Ndo bidada anaoga, alikuwa hajui nafasi yake analeta masela ndani nkifika nawafukuza kama yesu alivofukuza wafanyabiashara siku ile🤣🤣🤣 akawa anawaambia ndugu zake mi namdharau ata nguo za anko ni mimi kipindi iko nitoke shule niingie chumbani nkusanyeee zimezagaa adi uvunguni nifue nimnyooshee nizipange kabatini mke yupo tu ata ajui nafasi yake ni ipiHuyu mkazamjomba nae ni dhaifu...anandharauliwa sana na huyo binti...nikipata picha wanavopishana kwenye korido la nyumba dah!
Unaingia chumbani kwa mume na mke unapekuapekua unatafuta nini?
Kama una shida na kitu..mfano labda kitana si umwambie mwenyewe aamue uende au akutolee..ye anampuuza tu kama roboti anaingia.
Huyu binti amfukuze tu arudi kwao akafunzwe tabia za kuishi na watu.si bure hata nae akiolewa ntakua anaingiza mashosti chumbani anapiga nao story..
Sent using Jamii Forums mobile app
