Mrejesho....nimwambie mjomba wake?

Mrejesho....nimwambie mjomba wake?

maimatha

Senior Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
129
Reaction score
162
Natumai mko wazima wote
Siku kadhaa zilizopita nilileta thread ya mtoto wa wifi angu kuingia chumbani kwangu na kua na madaraka..

Wengi walinishaur niitishe kikao ,,nilifanya hivyo nikamwambia mjomba wake na bint akiwepo
Mjomba wake akaniambia huyu Ni bint mdogo nakushaur uwe unamwelekeza taratibu nikamwambia nimeshakaa nikaongea nae naona haelew akadai usichoke kumwelewesha
Ajabu hata mwanae hakumwambia/ hata akumkanya basi nikanyamaza tu

Kilichonishangaza leo
asubuh bint kaenda kanisan,, Kuna kitu mme wangu alikua anatafuta alivyokosa nikamwambia subir labda kipo chumba Cha bint ngoja nikakutafutie maana kabla bint ajaja tulikua tunakutumia icho chumba labda katika kuhamisha tulikisahau
Mume akasema acha niende nikaangalie mwenyewe...nikamwambia utaingiaje chumba Cha mtoto wa kike mi nipo?
Akaingia akatafuta kakuta Kuna chupi kitandan zingine, zimeanikwa hapo...bint naona yupo kwenye siku zake maana Kuna pedi pale kitandan lkn haijatumika
nikamwambia umefurahi Sasa ulivyoona??? Ajabu ananilaum Mimi ninamawazo negative yule Ni Kama mwanae so haoni ajabu kuingia chumbani kwake Wala bint kuingia chumbani kwetu
Nimechoka mwili na roho
huyu Ni ndugu yake kweli maana nilienda ukweni nilimkuta
Nilichogundua inawezekana kwao ndio tabia yao hawana privacy au nikawaida yao
Kama Kuna wasukum hum watanisaidia inawezekana kwao Ni kitu Cha kawaida ivyo wananiona mimi ndio ninamatatizo ...jumapil njema jamani hata mood yakwenda kanisan imeisha
 
Una fikra potofu sana , utaishi kwa wasiwasi mpaka lini mkuu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kwan Wewe Dada huna kwenu?
Nenda kwenu Maana tatizo likitokea kwa huyo Binti familia zote mbili zita tupia jicho Kwakuwa Wewe ndio mama Mwenye nyumba.

Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Kuna kesho na kesho kutwa Binti kapata mimba au magonjwa familia Ya mumeo hawato kuelewa kabisa.
 
Natumai mko wazima wote
Siku kadhaa zilizopita nilileta thread ya mtoto wa wifi angu kuingia chumbani kwangu na kua na madaraka..

Wengi walinishaur niitishe kikao ,,nilifanya hivyo nikamwambia mjomba wake na bint akiwepo
Mjomba wake akaniambia huyu Ni bint mdogo nakushaur uwe unamwelekeza taratibu nikamwambia nimeshakaa nikaongea nae naona haelew akadai usichoke kumwelewesha
Ajabu hata mwanae hakumwambia/ hata akumkanya basi nikanyamaza tu

Kilichonishangaza leo
asubuh bint kaenda kanisan,, Kuna kitu mme wangu alikua anatafuta alivyokosa nikamwambia subir labda kipo chumba Cha bint ngoja nikakutafutie maana kabla bint ajaja tulikua tunakutumia icho chumba labda katika kuhamisha tulikisahau
Mume akasema acha niende nikaangalie mwenyewe...nikamwambia utaingiaje chumba Cha mtoto wa kike mi nipo?
Akaingia akatafuta kakuta Kuna chupi kitandan zingine, zimeanikwa hapo...bint naona yupo kwenye siku zake maana Kuna pedi pale kitandan lkn haijatumika
nikamwambia umefurahi Sasa ulivyoona??? Ajabu ananilaum Mimi ninamawazo negative yule Ni Kama mwanae so haoni ajabu kuingia chumbani kwake Wala bint kuingia chumbani kwetu
Nimechoka mwili na roho
huyu Ni ndugu yake kweli maana nilienda ukweni nilimkuta
Nilichogundua inawezekana kwao ndio tabia yao hawana privacy au nikawaida yao
Kama Kuna wasukum hum watanisaidia inawezekana kwao Ni kitu Cha kawaida ivyo wananiona mimi ndio ninamatatizo ...jumapil njema jamani hata mood yakwenda kanisan imeisha
Pole sana... Unadanganywa... Vaa ujasusi uanze kuchunguza nyenendo zao... Fanya kama hakijatokea kitu, kausha, vumilia kila utakaloliona machoni mwako hadi pale utakapopata ushahidi mzuri... Ila hapo mpo wake wawili
 
Unatakiwa uwe na akili za ziada za kunchunguza
Mwanaume hata kama sio mwanawe n mtoto wa nduguye hatuna utaratibu au utamaduni wa wanaume kuingia vyumba vya mabinti hata siku moja hua tunaingia sisi mama na sio baba
Amekosea hakupaswa kuingia huko na chunguza mwenyewe yawezekana sie mwanae ni mke mwenzio umeletewa bila we kujijua hata kama umemkuta ukweni lakini jua uwezekano wa kua mke mwenzio ni mkubwa
 
Aliingia chumbani kwa mke mdogo, huyu mke mkubwa hajagundua hilo...
 
Yani hilo ndio kubwa na hajajua kibaya zaidi mwanaume alivyofosi sasa lazima ningeshtuka tu kwanza huyo binti angechagua kukaa kwangu aendane na sheria za nyumba yangu nikiwa kama mama mwenye nyumba ana mawili akiweza akae asipoweza anyanyue virago vyake, wameeka kikao na jamaa bado anatetea upande wa binti lazima ningepata waswas asee
Aliingia chumbani kwa mke mdogo, huyu mke mkubwa hajagundua hilo...
 
Natumai mko wazima wote
Siku kadhaa zilizopita nilileta thread ya mtoto wa wifi angu kuingia chumbani kwangu na kua na madaraka..

Wengi walinishaur niitishe kikao ,,nilifanya hivyo nikamwambia mjomba wake na bint akiwepo
Mjomba wake akaniambia huyu Ni bint mdogo nakushaur uwe unamwelekeza taratibu nikamwambia nimeshakaa nikaongea nae naona haelew akadai usichoke kumwelewesha
Ajabu hata mwanae hakumwambia/ hata akumkanya basi nikanyamaza tu

Kilichonishangaza leo
asubuh bint kaenda kanisan,, Kuna kitu mme wangu alikua anatafuta alivyokosa nikamwambia subir labda kipo chumba Cha bint ngoja nikakutafutie maana kabla bint ajaja tulikua tunakutumia icho chumba labda katika kuhamisha tulikisahau
Mume akasema acha niende nikaangalie mwenyewe...nikamwambia utaingiaje chumba Cha mtoto wa kike mi nipo?
Akaingia akatafuta kakuta Kuna chupi kitandan zingine, zimeanikwa hapo...bint naona yupo kwenye siku zake maana Kuna pedi pale kitandan lkn haijatumika
nikamwambia umefurahi Sasa ulivyoona??? Ajabu ananilaum Mimi ninamawazo negative yule Ni Kama mwanae so haoni ajabu kuingia chumbani kwake Wala bint kuingia chumbani kwetu
Nimechoka mwili na roho
huyu Ni ndugu yake kweli maana nilienda ukweni nilimkuta
Nilichogundua inawezekana kwao ndio tabia yao hawana privacy au nikawaida yao
Kama Kuna wasukum hum watanisaidia inawezekana kwao Ni kitu Cha kawaida ivyo wananiona mimi ndio ninamatatizo ...jumapil njema jamani hata mood yakwenda kanisan imeisha
Wasukuma kwenye vile vibanda vyao hamnaga privacy mle kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwe mwanamke mjinga dadangu. Pamoja na kuolewa kwanini hujitambui?

Kwanini uache ndoa yako kisa dada wa kazi?
Hata kama ni ndugu wa mume, muwekee masharti ya kutokuingia chumbani kwako.

Ikishindikana mtimue. Utamuachaje mumeo kirahisi rahisi hivyo?
Usikubali kuachika kizembe. Utarudi kwenu kuleta matatizo tu na kuwapa misemo watu baki tu. Unakwenda kuitwa jina gani mtaani?

Fikiri mara 3 kabla ya maamuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumai mko wazima wote
Siku kadhaa zilizopita nilileta thread ya mtoto wa wifi angu kuingia chumbani kwangu na kua na madaraka..

Wengi walinishaur niitishe kikao ,,nilifanya hivyo nikamwambia mjomba wake na bint akiwepo
Mjomba wake akaniambia huyu Ni bint mdogo nakushaur uwe unamwelekeza taratibu nikamwambia nimeshakaa nikaongea nae naona haelew akadai usichoke kumwelewesha
Ajabu hata mwanae hakumwambia/ hata akumkanya basi nikanyamaza tu

Kilichonishangaza leo
asubuh bint kaenda kanisan,, Kuna kitu mme wangu alikua anatafuta alivyokosa nikamwambia subir labda kipo chumba Cha bint ngoja nikakutafutie maana kabla bint ajaja tulikua tunakutumia icho chumba labda katika kuhamisha tulikisahau
Mume akasema acha niende nikaangalie mwenyewe...nikamwambia utaingiaje chumba Cha mtoto wa kike mi nipo?
Akaingia akatafuta kakuta Kuna chupi kitandan zingine, zimeanikwa hapo...bint naona yupo kwenye siku zake maana Kuna pedi pale kitandan lkn haijatumika
nikamwambia umefurahi Sasa ulivyoona??? Ajabu ananilaum Mimi ninamawazo negative yule Ni Kama mwanae so haoni ajabu kuingia chumbani kwake Wala bint kuingia chumbani kwetu
Nimechoka mwili na roho
huyu Ni ndugu yake kweli maana nilienda ukweni nilimkuta
Nilichogundua inawezekana kwao ndio tabia yao hawana privacy au nikawaida yao
Kama Kuna wasukum hum watanisaidia inawezekana kwao Ni kitu Cha kawaida ivyo wananiona mimi ndio ninamatatizo ...jumapil njema jamani hata mood yakwenda kanisan imeisha
Usukumani kawaida dume linaweza kutafuna hata mwanaye kama amenona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom