positive is normal
JF-Expert Member
- Dec 25, 2017
- 520
- 978
- Thread starter
- #81
Shukrani mkuu, ubarikiwe sanadah! kila la kheri kijana.
Shukrani mkuu, ubarikiwe sanadah! kila la kheri kijana.
Ahsante kwa mrejesho na In Shaa Allah Mwenyezi Mungu atakujalia ufaulu mtihani wako. Nikuombe tena tafadhali sana ahadi yangu ya kukuchangia japo kidogo ipo palepale ukiweza ni pm hata namba ya wakala unae mfahamu nikutumie sadaka yangu.Amen mkuu,ndio nimemaliza leo mitihani