Mrejesho: Nimesaidiwa nauli ya chuo

Mrejesho: Nimesaidiwa nauli ya chuo

"Mwanaume unaombao omba nildhani demu"hizi ndio tabia zetu na majibu yetu kwani ni lazima na uliombwa umchangie.Kijana ukitoka kwenye Paper leta huyu mtu humu afundishwe nidhamu.Mtazaa watoto wenu mnajua watapitia vitu gani huko mbeleni.
 
Kwa kweli mkuu kupitia yule jamaa niligindua dada zetu,wanapitia changamoto nyingi sana, MUNGU awape hekima dada zetu wawe na misimamo yenye busara, ubarikiwe sana mkuu
 
Baada ya kufiwa na baba yangu naapa sitakejeli mtu atoae chozi Dunia hii! Katika ulimwengu huu watu tunalewa sana na kujisahau hasa pale unapohisi wewe ni kamili na una kila unalitaka na unaowata lakini nimepata funzo kubwa sana tarehe 25/12/2017 baada ya kuondokewa na baba hakika nimejua uchungu wa kupoteza na kukosa wameibuka wanaoniambia kiko wapi sasa..... Walikua wanalinga sasa tutaona
Nakutia moyo kijana usikae na shida peke yako bora kuchekwa lakini iseme wapo wataosikitika na wewe,wapo watakaoonyesha Nia ya kukusogeza
 
Baada ya kufiwa na baba yangu naapa sitakejeli mtu atoae chozi Dunia hii! Katika ulimwengu huu watu tunalewa sana na kujisahau hasa pale unapohisi wewe ni kamili na una kila unalitaka na unaowata lakini nimepata funzo kubwa sana tarehe 25/12/2017 baada ya kuondokewa na baba hakika nimejua uchungu wa kupoteza na kukosa wameibuka wanaoniambia kilo wapi sasa..... Walikua wanalinga sasa tutaona
Nakutia moyo kijana usikae na shida peke yako bora kuchekwa lakini iseme wapo wataosikitika na wewe,wapo watakaoonyesha Nia ya kukusogeza
Amen mkuu shukrani sana, ubarikiwe sana mkuu
 
Kila la kher kijana katika mitihani yako,Mwenyezi Mungu akusimamie ushinde mitihani yako,kweli katika hili ndugu Max Melo anafungu kwa mungu,
Naiombea kila la kheri Jamii forum iweze kuwepo na iweze kuwasaidia wenye shida na matatizo
 
Amen mkuu, ubarikiwe sana, nimemaliza leo mitihani yangu
 
Dah yaan imenigusa sana sana.

Hongera sana kwa kumaliza mtihan na kwa upiganaji. Ujue kwenye maisha ongea sio wote watakujal ila wachache watakao jali watakuvusha hatua moja kwenda ingine.

Hongera zaidi kwa kukibali Hali yako ya hiv + transmission from mother to child. Simlaumu mama yako kwan miaka unazaliwa bado ishu za kukwepa haya maambukizi hazikuwepo.

Kukibali Hali ni kuonyesha ukomavu wa Hali ua juu and guess what hiv haitishi kama.sukati na bp.

Changamoto ya sponsor wako iyo ni njia ya kukukuza kiakili ujue kwamba kesho itakapo kuwa baba utawezaje kuona wanao wanalala njaa huku ukisema Leo sina kitu. Maana yake hata kama kazini mshahara haujatoka hutaacha mwanao asiende shule utakopa ili aende ukipata utarudisha.

Siku ukiwa na uhitaj please ni pm nibandike ktk list yako kbs.

All the best dogo
 
Ahsante sana mkuu, shukrani sana mkuu ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom