ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,579
- 44,821
Ni Km kuna Ka Ukweli fulani hapo.Malaya hawanaga ukimwi,ukimwi uko kwa ma girlfriend na wake sababu hawa huwa wanaaminika hawana kumbe wanatoa kimasihara hatari.
Ni kweli mkuu angeanza PEP immediately ukizingatia nature ya kazi ya huyo dada kwamba anakutana na wanaume kila siku hivyo chances za kupata ni kubwa,Binafsi ningekushauri ungelianza tu dozi ya PEP...
Kuna uwezekano mkubwa mtu mwenye ngoma akapima na akaonekana hana ngoma...
Je, umejiuliza kwa nini umeandikiwa kikaratasi cha tarehe ya kurejelea tena kipimo?
π π π π πIngia Google andika "WINDOW PERIOD"
Yani bado unaamini ukimwi upo mwenyekiti?Kipimo cha HIV huwa kinaonyesha kuwa mtu ni positive kama ameambukizwa miezi mitatu nyuma.Kama mtu ameambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma hakiwezi kuonyesha.What if huyo dada yetu aliambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma?Mkuu nakuhakikishia kuwa umepata ngoma!
Kuna siku utaleta ushuhuda hapa kusimulia kuwa ukimwi upo. Mark my words!Yani bado unaamini ukimwi upo mwenyekiti?
Nani atakupa PEP ili hali wote wawili mko negative???. Hata kama huyo binti amepata juzi basi hawezi kutransmit sahizi. msimtishe jamaa, afurahie maisha tuNi kweli mkuu angeanza PEP immediately ukizingatia nature ya kazi ya huyo dada kwamba anakutana na wanaume kila siku hivyo chances za kupata ni kubwa,
Hicho kipimo alichokitumia hakiwezi kumpa majibu sahihi kwa muda huo aliopima toka kwenye exposure.
Haha daah,Nani atakupa PEP ili hali wote wawili mko negative???. hata kama huyo binti amepata juzi basi hawezi kutransmit saizi. msimtishe jamaa, afurahie maisha tu
Within 3 hadi 1 mmoja kama kuna transmission mwili huanza kutengeneza antibodies...Kipimo cha HIV huwa kinaonyesha kuwa mtu ni positive kama ameambukizwa miezi mitatu nyuma.Kama mtu ameambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma hakiwezi kuonyesha.What if huyo dada yetu aliambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma?Mkuu nakuhakikishia kuwa umepata ngoma!
Malaya hawanaga ukimwi,ukimwi uko kwa ma girlfriend na wake sababu hawa huwa wanaaminika hawana kumbe wanatoa kimasihara hatari.