Ukidumbukiza mara moja kwa muathirika unaambukizwa?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,821
Kuna jamaa yangu anaomba mpeni jibu eti alikuwa kalewa Sasa akawa ameenda ku do Na muathirika Ila akawa amevaa condom Sasa katika mechi mdada sijui ndo kazidiwa akaichomoa condom makusudi jamaa kapeleka mashine Kama sekunde tano hivi kashtuka ikabidi a stop akavaa nyingine show ikaendelea Sasa swali hapa Ni je sekunde tano zile zinaweza kusababisha maambukizo?Na pia kuhusu hizi Dawa za PEP tunaskia Zina Leta maluweluwe unaweza ukahisi kufakufa Kuna yeyote amewahi kuzimeza

NB:SIO MIMI NI RAFIKI YANGU NDO KANITUMA KUULIZIA HAPA JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kupata,mwambie atafute mwingne na ajipongeze!

Ukimwi huambukizwa kwa michubuko inayotokea kwenye vikojoleo
 
Kupata HIV inategemea factors mbalimbali. Lakini kwa jibu la haraka, Ndio inawezekana wa hizo sekunde chache, lakini NI NGUMU PIA SANA pamoja na kwamba inawezekana. Watu wanasema mchubuko, lakini sio lazima. Mfano kama mwanamke amefikia kilele akamwaga (vaginal fluids za kileleni ZINA VIRUSI VINGI SANA). Ambazo sio za kileleni hazina. Au kwa mfano kama ndioa anaanza tu kutoa damu za siku zake, au anamalizia tu siku zake.. MANAKE KUNAWEZA KUNA NA DAMU KWA uke wake, Hapo hizo sekunde 5 unaweza pata. Mfano damudamu ikiingia kwa mrija wa mkojo, ikakaa hapo kwa muda ww pasipo kukojoa, au kwa wale wenye govi kwa ambao hawajatahiriwa. Govi lina ngozi LAINI upande wa ndani, na virusi vinaweza penya hata pasipo mchubuko sababu ya ulaini huo wa ngozi ya govi upande wa ndani.

KWA UPANDE MWINGINE, UNAWEZA FANYE seex na mdada Muathirika, na asiyetumia ARV. MIAKA NA MIAKA tena pasipo condoom, na bado usiipate. ARV zinapunguza au hata kuondoa kabisa maaumbukizi.

Kwa ufupi inategemea, na for the most part ni bahati mbaya au bahati nzuri sometimes (good or bad luck) ndio ita-determine kama unapata VVU au haupati.
 
Halafu mtafute huyo mdada UKAMPIME. Japo watu hawafahamu kwamba vile vipimo vya lab vya shs 5000 hadi 10000 kupima, HAVITAONYESHA KAMA MTU KAATHIRIWA WIKI MOJA AU HATA MBILI ZILIZOPITA. Kinachoonyesha kinaitwa DNA-PCR na gharama yake ni laki mbili kwenda juu.

Ila pamoja na hayo, ni vizuri kumpima kwa hicho cha shs 5000. Kwa asilimia kubwa kama yuko sawa, basi ndio hivyo ni negative, Ila ndio ujue sio 100%.
 
Bora ujikaze tu umeze hizo PEP kwa siku 30 ukiziacha hizo hizo dawa ukiwa katika tukio hili umepata maambukizi utakuja zimeza maisha yako yote?
Tatizo hata hajasema kama huyo dada ni HIV positive. Hizo dawa kuzimeza tu pasipo kujua status ... sio sawa. Na zinapatikana sasa kirahisi? Hapana!! Hakuna pharmacy binafsi inaziuza kwa Tanzania.

PS: NIMEONA.. KUMBE DADA NI MUATHIRIKA. Nimeona kwa kichwa cha habari cha mada.

Kwa hio jamaa kaamua kulala na muathirika?? Bila kujua kama Yuko kwa ARVs na bila kujua Viral load yake? Na unatoa condom?? Unachezea kifo.

BINAFSI SILALI NA MDADA PASIPO KUMPIMA. NA NIMENUNUA VIPIMO INDIA.. NINAVYO NYUMBANI NA NATEMBEA NAVYO KWA GARI.

NIMESHAKUTA WADADA POSITIVE TENA WAO WALIKUWA HAWAJIJUI. Ila niliwasaidia kupata matibabu na hata nikawapatia hela ya matumizi kwa muda mrefu tu.


Ila ukimwi upo jamani. MJILINDE...
 
Hupati hadi utumbukize mara 100 ndiyo utaambukizwa. Jikinge corona inaua.
Kuna jamaa yangu anaomba mpeni jibu eti alikuwa kalewa Sasa akawa ameenda ku do Na muathirika Ila akawa amevaa condom Sasa katika mechi mdada sijui ndo kazidiwa akaichomoa condom makusudi jamaa kapeleka mashine Kama sekunde tano hivi kashtuka ikabidi a stop akavaa nyingine show ikaendelea Sasa swali hapa Ni je sekunde tano zile zinaweza kusababisha maambukizo?Na pia kuhusu hizi Dawa za PEP tunaskia Zina Leta maluweluwe unaweza ukahisi kufakufa Kuna yeyote amewahi kuzimeza

NB:SIO MIMI NI RAFIKI YANGU NDO KANITUMA KUULIZIA HAPA JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom