Mrejesho: Nimefika Dar, bado nahitaji msaada

moghasa

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,084
1,253
Wakuu nimekuja huku kama nilivyosema nipo kairuki lakini Urologist mpaka jmosi, kama kuna mdau anajua Ratiba ya urologist yeyote kwa Leo na kesho hospital nyingine aniambie coz ninamaumivu mpaka jmosi naona mbali.

Asanteni.
 
Sijui kama bado ratiba ipo hivyo au la lakini Hindu mandal kulikuwa na huduma ya urologist alhamis kuanzia saa 10 jioni.
 
Na kama kuna yeyote mwenye namba za hindu mandal for maulizo naomben wakuu!!
 
Dah pole sana. Kama ungekuwa upo Dodoma ningekupeleka kwa ndugu yangu ni urologist wa Benjamin ultra modern hospital kila siku anakuwepo.p
 
Dah pole sana. Kama ungekuwa upo Dodoma ningekupeleka kwa ndugu yangu ni urologist wa Benjamin ultra modern hospital kila siku anakuwepo.p
Peace mkuu !! Nipo dar by now nilipita hapo Jana !!
 
0713618495 Dr Kaushik ,Hindu Mandal

Hebu mcheki huyo jamaa anaweza kukupa direction mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom