Mrejesho: Nimechukua hii LG ya mtumba 49", kuweni makini

Ni kupata kioo tu hakuna Fundi mwenye hela ya kukulipa wengi watataja bei ya nauli tuu...
Niliipeleka service centre fundi kakaa nayo zaidi ya miezi sita hakuna kioo kilichopatikana.......nikaamua kuibeba kurudisha nyumbani. Nilikuwa napanga kununua hizi za kampuni mpya ya Haier za GSM naona wameingia na bei nafuu ila sijajua kuhusu ubora.
 
Kwa kuwa Pantomath unapenda LG kama mimi siku ukihitaji LG na tukiwa wazima nijulishe niitume daslm pana dogo anaipokea Mpya kutoka SA harafu mnalipana ukiiona " yeyote hiyo pesa ungepata mpya ila inch nadhani 40 mpaka hiyo 43...cheki Macro.co.za electronics unapata LG thin Q nitakuchaji usafiri tuu hata Friedge au Washing Machine nakupa offer hiyo maana mimi pia ni mtumiaji wa vitu vya Life is Good...
Mkuu
Lete Maneno...
Mtu Akiwa Morogoro Anaipataje Mfano Fridge LG
 
Mkuu
Lete Maneno...
Mtu Akiwa Morogoro Anaipataje Mfano Fridge LG
Unapata Mkuu maana vitu vinashushwa daslm harafu vinatumwa mikoani kwa gharama ndogo hizi za Fusso zetu...napakia mizigo ya Nairobi,Mombasa na inafika vizuri tuu..Nairobi wao sio Electonics ni Mapazia ya Waturuki na Parts za Subaru Foresta na muda mwingine Subaru zenyewe
 
Na mimi yangu LG 49 ina shida ya kioo, nimeiweka tu ndani.....kama kuna mafundi wanahitaji naweza kuisukuma ili nitafute mpya, vinginevyo kama kioo kinapatikana.
Pole kwa hiloo, kimepasuka?
Boss kama unaweza niuzia Base stand zake na Magic remote control yake kama unayo?
Screenshot_20230428_040134_Chrome.jpg
View attachment 2604918


Kama hutojali naomba model nijue kama stand zina match.
Screenshot_20230430_145509_Google.jpg
 
Kioo hakijapasuka kimekufa, kuna jamaa kasema hapo juu hakuna fundi wanaoitaji hiyo TV kama spare.........nitajaribu kucheki mafundi ambao wanaweza kupata kioo.
Umejaribu kuangalia taa? Mda mwingne ndio shida.
 
Mbeya ndio home mkuu ukihitaji nitafute tuu TV ni kama simu tuu iwe Sumsung au LG thin Q tunapakia tu naumia kuona Wazambia wakitumia 85 inch sisi bado tuko na Bosen TV hapa Livingstone boarder hayo magari na mizigo hiyo wanatumia dakika chache tuu kulipia na kupita mzigo huo huo Tanzania watakuja watu na vitambulisho hapo utadhani tuna Viwanda kumbe wanalinda maslahi ya wanaoleta vitu feki...
Poa mwanangu tutawasiliana nikiwa tayari nikipata oven, fridge TV itakua poa vipi kuhusu homethrete zipo?
 
Poa mwanangu tutawasiliana nikiwa tayari nikipata oven, fridge TV itakua poa vipi kuhusu homethrete zipo?
Nunua Soundbar achana na Theater sound hasa ukipata JBL ya USA 5.1 Channel sio mbaya hayo mambo ya Channel utayaelewa ukiwa nayo zipo za 3.1 na kubwa 7.1 Channel hii ipo juu kidogo..SA ishu ya Electronics vimejaa kama taka taka maduka yanatafuta wateja na bei za kawaida tuu ngoja nitupie duka moja wanajisifu kwa vitu vya Sitting Room nzuri uone...
 

Attachments

  • IMG-20230424-WA0145.jpg
    IMG-20230424-WA0145.jpg
    111.5 KB · Views: 34
  • IMG-20230424-WA0129.jpeg
    IMG-20230424-WA0129.jpeg
    805.9 KB · Views: 28
  • IMG-20230424-WA0137.jpeg
    IMG-20230424-WA0137.jpeg
    800.5 KB · Views: 25
  • IMG-20230424-WA0135.jpeg
    IMG-20230424-WA0135.jpeg
    705.7 KB · Views: 31
Mkuu, sio kwamba ili kupunguza mzunguko spare kioo kitumwe Tz kifungwe hapa kuliko kupeleka Johannesburg?
Kikiwaka kule ndio inakua guarantee maana yapo magari yanaenda na pia anakuchaji mara moja na kodi haitalipiwa SA sio mbali kama unavyosimuliwa vijana wanaenda mara mbili kwa mwezi maana unaweza kutumiwa harafu kumbe tofauti na mafundi wa Bongo ikawa shida wale jamaa wanafanya kazi ukipeleka unaondoka nayo kama wanabadili kioo cha simu...niliwahi ituma Sony moja kutoka Tanzania na walipobadili inafanya kazi mpaka leo ilikua kipindi cha Corona ila kwa mafundi wanaweza wao kununua kwa kuangalia TV na kioo kule mimi sio Fundi mkuu na mara nyingi nafanya kwa TV kubwa ambayo kuitupa unaona haiwezekani...
 
Back
Top Bottom