muoga wa jf
Senior Member
- Jun 27, 2016
- 198
- 225
Wakuu nawashukuru sana kwa ushauri wenu kiukweli nilikuwa nimekata tamaa ya kufaulu kutokana na theory niliyojiwekea ya kuwa ni ngumu ila baada ya wadau mbalimbali kutoa ushauri nimeamua yafuatayo;
Kwanza;Narudi kwa nguvu mpya shule na roho ya kushindwa nimeaikata kuanzia sasa kwa msaada wa Mungu
Pili; Mungu ndiye msaada wangu kwa sasa na pia kitabu ndicho kitu pekee kilichobakia mambo yasiyo na msingi kwa sasa kama social network, smartphone vitu vinavyonipotezea muda kama makundi ya ujinga, kutosoma kwa utaratibu inabidi niachane nao..
Tatu; kilichobaki ni mimi kufikiria shule safari nimeanza haina budi kumaliza sijui kitu gani Mungu ameandaa mbele baada ya kumaliza form six hivyo nataka rasmi NARUDI SHULE MUNGU NISAIDIE...
NOTE: Samahani kwa wote niliowajibu majibu ya ovyo since mkinipa ushauri
-asante kwa wakuu mlionionipa mbinu mlizopitia naenda kuandika kwa my diary nitasoma nikiwa shule Mungu awabaliki sana..
[HASHTAG]#OFFLINE[/HASHTAG] JF MIMI STUDENT BACK TO SCHOOL#
[HASHTAG]#TUKUTANE[/HASHTAG] MUHAS 2018#